Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 10,494
- 9,854
- Thread starter
- #81
Endelea kujitetea, fact remain you are the weakest in EAC, mbwa anaye bweka sana hana makali, ama haumi.
Sina hakika na umri wako lakini ni wazi kuwa comment hii inawezekana uko chini ya miaka 20...Halafu ni wazi huijui Tanzania na hata nchi yako huenda huifahamu.
Unataja Zanzibar as if ni nje ya Tanzania...Zanzibar ni part and parcel ya Tanzania...Halafu Kama hujui Uganda wakati wa Iddi Amin was very powerful militarilly...He had almost 50 thousands soldiers many tanks, APCs , Migs...Halafu Amin hakuwa peke yake...Ghadafi alileta Askari vifaru na ndege kumsaidia.
Kile amacho hakujua ni kuwa almost every Tanzanian Alikuwa amepitia mafunzo ya kijeshi iwe ni JKT au mgambo vijijini, makazini na mitaani...When Tanzanians were mobilized for war Amin hakuamini..alipigwa right, left centre up and down...Binafsi niliwaona Askari wale wa Libys waliotekwa namna walivyosikitisha..thousands of Libya wakarudishwa kwao na Nyerere ...Uganda ikawa chini ya Tanzania na maraus wao wote wakawa wanaripoti kwa Nyerere..akina Paul Muwanga, Binaisa, Lule na Okello na hata Obote after his second coming.
Kwa hiyo wewe dogo usicheze na Tanzania...katika ukanda huu hakuna anayeweza na Tanzania...nyie nunueni tu vifaru, ndege na kadhalika.
Lakini Vita ni military tactics, patriotism, courage, will to fight, unity na able leadership...