Dunia tunamoisha imeweka taratibu zake ili kuhakikisha haki za binadamu zinalindwa. Inapotokea kwamba kuna uvunjifu wa haki za binadamu, ni wajibu wa jumuhiya ya kimataifa kuingilia kati.
Approach iliyotumika ku deal na wanaharakati kutoka nchi jirani ilikuwa mbaya sana na ilichafua taswira ya nchi na ukizingatia kuna malalamiko lukuki ya watu kutekwa, kupotezwa, kuawa na ukandamizaji wa haki za binadamu. Huku kesi nyingi zinazoripotiwa polisi zinaisha kimya kimya.
Kwa kutokujua mihimili ya dunia ina nguvu kiasi gani, tukasema tuachwe na mambo yetu ya ndani.
Tunachopaswa kujua ni kwamba dunia haitakaa kimya iwapo kuna ukandamizaji wa haki za binadamu. Hata kwenye level ya familia lazima jamii iingilie kati wakiona kuna manyanyaso kwenye nyumba jirani.
Sasa naona tunahaha kujisafisha sijui mara ripoti ya jeshi la polisi kuhusu utekaji, mara Possi sijui kaongea nini.
Ningewaomba viongozi kwa nafasi zao wawajibike ipasavyo.
Tutafute maendeleo kwa kuheshimu na kulinda haki za binadamu na vitu vyote vilivyopo duniani.
Tanzania kwa ajili ya maendeleo endelevu