Tanzania still BANNED from entering Kenyan soil

Tanzania still BANNED from entering Kenyan soil

Iv kenya kuna wale wachezaji wa kenya ambao wana ishi Tz na wanapokuwa huku hata mask hawavai na msimu ukiisha wanarudi kenya. Je mnapowapima mlishawah kuwakuta na covid 19 ? Mfano kahata msimu ulipoisha alirudi kenya na hapa Tz karudi juzi ! Sasa sijui mlishawah kusikia kqhata ana covid 19 ? Instead tunasikia tu mara jeff koinange kapata covid, no wazi Tz hakuna covid 19.

Na sio kahata tu, hata foreigner players wengine sijawahi kuwasikia wana covid 19, mfano kagere, chama, fraga, na wengine hawa players wote walipomaliza games zao walirudi nchin kwao and funny enough hakuna hata mmoja ambae alikutwa na covid 19.
 
Yeah! Tukicheka na hawa majirani tutavuna mabua, nimefurahi sana kwa uongozi wa nchi yetu kwa kuwa na msimamo dhabiti, wasikubali kututia rehani kisa mindege yetu ya KQ kwenda Dar.
Mna ndege 3 kwenye ile fleet ya KQ,
Halafu hao viongozi wenu si ndio wameuza Vifaa vya msaada wa Jack Ma? Yaani wamekunywa uji wa Mgonjwa, tofauti iko wapi? [emoji16][emoji16][emoji16]
They don't care about you poor Kenyans.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mna ndege 3 kwenye ile fleet ya KQ,
Halafu hao viongozi wenu si ndio wameuza Vifaa vya msaada wa Jack Ma? Yaani wamekunywa uji wa Mgonjwa, tofauti iko wapi? [emoji16][emoji16][emoji16]
They don't care about you poor Kenyans.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkae huko na njaa zenu hadi siku mttuhkikishia mumeacha kuogelea kwenye corona, ila kwa sasa pambaneni huko huko.
 
Mkae huko na njaa zenu hadi siku mttuhkikishia mumeacha kuogelea kwenye corona, ila kwa sasa pambaneni huko huko.
kenya na Tanzania.wapi kuna njaa wewe?? acha kutumia makalio kufikiri
 
Hatuna haja ya kujua kama mna corona au la la mking'ang'ania kuja kwetu lazima mpanue midomo tuwapime maana mlishajichokea na kutelekeza watu wenu wahangaike kwa corona wenyewe.
Nani aje kwenye li nchi la jangwa nyie ndo mnalilia kuja huku
 
Li nchi la ukabila,rushwa,unafiki,rushwa,upigaji dili,ubeberu wa kiwango cha rami,ulevi,majigambo,ushoga,.....,......
Umesahau uchawi,wivu,ujinga umaskini umbeaa, majungu uzembe.Mkae tu huko kwenu hatuwataki huku kwetu
 
Back
Top Bottom