luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Iv kenya kuna wale wachezaji wa kenya ambao wana ishi Tz na wanapokuwa huku hata mask hawavai na msimu ukiisha wanarudi kenya. Je mnapowapima mlishawah kuwakuta na covid 19 ? Mfano kahata msimu ulipoisha alirudi kenya na hapa Tz karudi juzi ! Sasa sijui mlishawah kusikia kqhata ana covid 19 ? Instead tunasikia tu mara jeff koinange kapata covid, no wazi Tz hakuna covid 19.
Na sio kahata tu, hata foreigner players wengine sijawahi kuwasikia wana covid 19, mfano kagere, chama, fraga, na wengine hawa players wote walipomaliza games zao walirudi nchin kwao and funny enough hakuna hata mmoja ambae alikutwa na covid 19.