Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au draft......sasa itabidi tuhamie kwenye Rugby maana football metushinda!
21 Jun 08 CMR 2:1 (0:0) TAN
Team MP W D L GF GA Pts
1 Cameroon 4 3 1 0 7 1 10
2 Cape Verde 3 2 0 1 2 2 6
3 Tanzania 4 0 2 2 2 4 2
4 Mauritius 3 0 1 2 1 5 1
Fixtures and Results14 Jun 08 TAN 0:0 CMR
21 Jun 08 CMR 2:1 (0:0) TAN
06 Sep 08 CPV CMR
11 Oct 08 CMR MRI
More »
Standings Team MP W D L GF GA Pts
1 Cameroon 4 3 1 0 7 1 10
2 Cape Verde Islands 3 2 0 1 2 2 6
3 Tanzania 4 0 2 2 2 4 2
4 Mauritius 3 0 1 2 1 5 1
More »
sasa itabidi tuhamie kwenye Rugby maana football metushinda!
Hamna kitu kabisa sisi yaani tumechemsha vibaya mno!bora hata ile time ya kina Tenga ilifanikiwa kucheza African Cup miaka hiyo!Mimi kwa kweli sioni haja ya kujipa moyo eti tumefunga kamoja!huu ni uidiot kabisa!bora tukalime tu soka imetushinda tunapoteza pesa mingi kumlipa maximo for nothing!alafu kwa standing hiyo bado twataka jazana upumbavu eti tujipe moyo i don know tume improve....shenz kabsaaa!
Hamna kitu kabisa sisi yaani tumechemsha vibaya mno!bora hata ile time ya kina Tenga ilifanikiwa kucheza African Cup miaka hiyo!Mimi kwa kweli sioni haja ya kujipa moyo eti tumefunga kamoja!huu ni uidiot kabisa!bora tukalime tu soka imetushinda tunapoteza pesa mingi kumlipa maximo for nothing!
kwi kwi unanivunja mbavu jamani taratibu!Au draft......
UMISSETA NA UMITASHUMITA ZINARUDI SIJUI MWAKANI!Viongozi wasiotakia mema michezo waliifuta kwa kweli basi tu!Where is VIPAJI jamani?....soka halikui kwa maneno ya kwenye bao twahitajika tuwe na utamaduni wa kukuza vipaji.....wapi UMISSETA,UMITASHUMITA huko ndio walikotokea akina Kasejana wenzake.....
.......lafu hili soka la Simba na yanga limeua vipaji sana......PAWASA yuko wapi? kuna wakati natamani niwachukue viongozi wa soka bongo NIWAFANYIE FORMATING bongo zao.....
bifu sasa limekwisha si amehamia yanga....... sasa kaseja ataitwa stars...! (joke)Tatizo maximo hashauriki.anaona kila kitu anachukua kwa JK. hivyo wapenzi wa mitaani kama sisi hatusikilizwi.
na Tenga anaogopa sana kwa vile Taifa stars ni sera ya CCM na yeye ni Chadema anaogopa kuambiwa anavuruga sera.
Kipa wetu ni tatizo kubwa tutafungwa sana. sijui Maximo ana bifu gani na Kaseja.
Cameroon hivi sasa wameshuka kama Senegal kwa kiasi fulani. ilikuwa wakati muafaka wa kuitangaza nchi yetu lakini Maximo katubania. na sisi tunasifika kwa ukarimu na utulivu hasa kwa wageni wanaochukua rasilimali zetu.