TANZANIA (taifa stars) vs CAMEROON !!!

TANZANIA (taifa stars) vs CAMEROON !!!

Soka tumecheza japo refa katuuma......Henry Joseph si ajabu Arsenal wakamuita kwa majaribio....

heheheh vituko uswahiliniiiiiii

duh kwangu fifa bado wananiambia mambo ni 1 moja!!!
 
Mpira umekwisha ndugu Etoo anacheza sindimba uwanjani kama vile wamechukua kombe...Stars wamekubalika imagine na uchawi woote wa Younde lakini tumepiga kamoja.......
Mwenzako anafurahia taifa lake kuelekea World CUP 2010 si unajua 2006 walibaniwa?
 
Sasa na maximo kaongezewa mkataba na ndo tumebamizwa!du hatari kweli kweli!
 
hilo la pili limetokea wapi mbona mpira umeshaisha na matokeo ni 1 : 1 according to fifa.com
 
Tuna mawili inamaana ushindi wa goli moja kama nilivyowajuvya.
 
Mwenzako anafurahia taifa lake kuelekea World CUP 2010 si unajua 2006 walibaniwa?

si ndo hapoooo watanzania twajazwa ujinga tuu eti anashangilia kwa vile ilikua ngumu kupita ngome ya tanzania,angetupiga viwili???

tuache kujazana ujingaaa wajimini.....wenzenu washaqualify to the worldcup nyie mwakaa peana moyo wa kijinga tu ooh tumefungwa kwa tabu ooh tumeimprove mara wateva...de fact ni kua bado tumefungwa!!

na yaniuma saaana kufikiria next ni 2011
 
hilo la pili limetokea wapi mbona mpira umeshaisha na matokeo ni 1 : 1 according to fifa.com

si ndo hapo sasa??au ndumba za cameroon zimewaingia baadha ya reporters kuwa mpira ni mbili moja wakati ni moja moja??1
 
ammah now wameweka eti ni mbili moja!!hii link yao bomu kabsaaa
 
hilo la pili limetokea wapi mbona mpira umeshaisha na matokeo ni 1 : 1 according to fifa.com
Angalia tena.....mrusha matangazo wa web ya fifa alieoko cameroun laptop yake ilikuwa na TROJAN.....
 
WELCOME TO TANZANIA........! BE THE FIRST TO KNOW...!
AU TBC WANATUMIA MITAMBO YA 2025.....!
FIFA NA BBC MITAMBO YA 1980's

Nimekubali Mkuu, du!! wametuweza! hasira zitaishia kwa hao wengine.

Team MP W D L GF GA Pts
1 Cameroon Cameroon 4 3 1 0 7 1 10
2 Cape Verde Islands 3 2 0 1 2 2 6
3 Tanzania Tanzania 4 0 2 2 2 4 2
4 Mauritius Mauritius 3 0 1 2 1 5 1
 
ehh jamani link yangu ya fufa.com yaniambia tz imeshinda 3 mbili la pili kafunga mapunda mwenyewe na la tatu kafunga maximo aliingia as sub
 
fifa weshaondosha na ilikuw a moja moja

mbona mnatufanyia usanii


au ndio usanii wa kimichezo?
 
21 Jun 08 CMR 2:1 (0:0) TAN

Team MP W D L GF GA Pts
1 Cameroon 4 3 1 0 7 1 10
2 Cape Verde 3 2 0 1 2 2 6
3 Tanzania 4 0 2 2 2 4 2
4 Mauritius 3 0 1 2 1 5 1

Fixtures and Results14 Jun 08 TAN 0:0 CMR
21 Jun 08 CMR 2:1 (0:0) TAN
06 Sep 08 CPV CMR
11 Oct 08 CMR MRI

More »
Standings Team MP W D L GF GA Pts
1 Cameroon 4 3 1 0 7 1 10
2 Cape Verde Islands 3 2 0 1 2 2 6
3 Tanzania 4 0 2 2 2 4 2
4 Mauritius 3 0 1 2 1 5 1

More »
 
Back
Top Bottom