TANZANIA (taifa stars) vs CAMEROON !!!

Saturday 21 Jun 2008
16:00 Zambia85' Felix Katongo penalty 1 : 0 Swaziland44' Siza DLAMINI
17:00 South Africa 0 : 0 Sierra Leone Second stage
18:30 Cameroon69' Samuel Eto 90' Samuel Eto 2 : 1 Tanzania80' Danny MRWANDA
19:00 Nigeria45' Yakubu Ayegbini 84' Ikechukwu Uche 2 : 0 Equatorial Guinea
22:00 Morocco13' Youssef Safri penalty 49' Nabil Elzhar 2 : 0 Rwanda
22:00 Burkina Faso25' Charles KABORE 30' Mahamoudou KERE 64' Mahamoudou KERE 89' youssef koni 4 : 1 Seychelles45' Bernard ST ANGE
22:30 Tunisia30' Chaoukhi Ben Saada 44' Jemaa Issam 2 : 1 Burundi 21'Suleiman Ndikumana 45' Henry MBAZUMUTIMA
23:30 Senegal8' Ibrahima Sonko 34' El Hadji Diouf 63' Souleymane Camara 3 : 1 Liberia90' Zah KRANGAR
 

sorry brother ,
napenda kutokukubaliana na wewe hapo kuhusu swala la kocha na timu kwa ujumla.
Hii still iaonyesha jinsi wa bongo tulivyo,tunapenda maendeleo ya harahara na hayo maendeleo yakishindikana ku-materialize kutoka na muda always and i repeat always lazima tumtafute mtu wa kumtupia lawama.
Nadhani kila mtu aliona ule mpila siku ile,watoto wetu walicheza vizuri mno ukilinganisha na kipindi chochote unacho kijua wewe kwenye soka letu,matunda ya kua na mwalimu mzuri kila mtu ameyaona ila kwa wachache ambao wanadhani leo hii tunaweza kusimama/kucheza hata na Italy tukawafunga eti tu kwa sababu mwalimu amekaa zaidi ya miaka miwili.
Tusisahau,mpirana kima NYUMBA,msingi mzuri ndio unaletea nyumba bora in two yrs sisi tutakua natimu nzuri sana Afrika kama sio duniani ila inahitaji uvumilivu .
 

Hii ndio ilikuwa Taifa Stars original. sio wauza sura wa sasa hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…