Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka sasa Dakika ya 62 ngoma bado draw........refa anaonekana kuwapendelea cameroun....Mungu yupo tu lakini.......[/QUOTE
Huyo refa atakuwa ni wa kutoka Afrika Magharibi tusishangae akiamua kuwapa penalty
Nziku Na Wenzako Sosi Zenu Tuna Mashaka /Nina Mashaka Nazo....!live Scoreboard 70' Cmr Cameroon 1:0 Tanzania Tan
50' Nga Nigeria 1:0 Equatorial Guinea
Timu ilikuwa inashinda ilipokuwa bado inaitwa Taifa stars kwa sababu walikuwa wanajituma kama kwa maslahi ya Taifa.Tangia waibandike jina la JK BOIZ basi kila kitu kimekuwa ki-JK -JK