Mwenzako anafurahia taifa lake kuelekea World CUP 2010 si unajua 2006 walibaniwa?Mpira umekwisha ndugu Etoo anacheza sindimba uwanjani kama vile wamechukua kombe...Stars wamekubalika imagine na uchawi woote wa Younde lakini tumepiga kamoja.......
Mwenzako anafurahia taifa lake kuelekea World CUP 2010 si unajua 2006 walibaniwa?
mpira wajameni ni 1 : 1
WELCOME TO TANZANIA........! BE THE FIRST TO KNOW...!mpira wajameni ni 1 : 1
Angalia tena.....mrusha matangazo wa web ya fifa alieoko cameroun laptop yake ilikuwa na TROJAN.....hilo la pili limetokea wapi mbona mpira umeshaisha na matokeo ni 1 : 1 according to fifa.com
ammah now wameweka eti ni mbili moja!!hii link yao bomu kabsaaa
WELCOME TO TANZANIA........! BE THE FIRST TO KNOW...!
AU TBC WANATUMIA MITAMBO YA 2025.....!
FIFA NA BBC MITAMBO YA 1980's
Angalia tena.....mrusha matangazo wa web ya fifa alieoko cameroun laptop yake ilikuwa na TROJAN.....