Tanzania (Taifa Stars) vs Morocco

Ngassa anatafuta timu Ulaya kwa nguvu, badala ya kumchezesha mwenzake aliyekuwa ktk nafasi nzuri anataka afunge yeye.
 
mbona kapteni wao anataka kutupigia mchezaji wetu

wakilianzisha tutawatafuta chadema wawashughulikie

Aibu yenu.

Kila kitu munafanya siasa.

Sasa JK kaenda kufanya nini huko?

Jamaa anapenda starehe yule!
 
Wachezaji wetu wanakosa vitu basic kabisa, mathalan kama ball control, kukimbia na mpira, kutoa pasi, na kuchukua nafasi etc etc..hata hao makocha wa kigeni tunaowaajiri ni kazi bure tu.
 
naam wanasema kuwa Tanzania imeingia mara moja tu kwenye kombe la afrika mwaka wa 80 na leo wala hawatupi nafasi ya kufikiri juu ya hilo
 
Juma Jabu kasikika mara mbili tu. Banka kaingia sasa hivi lakini anafurukuta. Nsajigwa naona maguvu yanamsaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…