Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,191
- 677
vijana wameanza makeke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Danny Mrwanda huyo mkuuHuyu nani aliekosa goli? dah
mbona kapteni wao anataka kutupigia mchezaji wetu
wakilianzisha tutawatafuta chadema wawashughulikie
mlioanza kutizama mechi toka mwanzo mnaonaje tutachomoka au?
wameimba nyimbo za taifa after break badala ya kabla ya mechi kuanza
Dalili za kuchomoka hakuna mkuu. Strikers wanatu[a mashuti ya mbali mno na katikati kama vile pametekwa na adui
Ngassa hata haonekani kabisaaa