Tanzania (Taifa Stars) vs Morocco

Tanzania (Taifa Stars) vs Morocco

Kama Kikwete yuko uwanjani basi kushinda ni ndoto!

ha! ha! ha!

Ng'wanangwa aliweka uzi wa kutabiri kushindwa kwa Stars sababu ya kualikwa Kikwete. Ng'wanangwa hakuchukua raundi. Akawa banned.

Unaona sasa! Dakika zinazidi kuyoyoma jamani.

Ngapi - ngapi Mfunyukuzi?
 
Dah, Nizar anatoka anaingia Bocco. Dakika ya 87 inaelekea. Tushalala hivyo
 
Huyo kocha mzungu anakula hela ya bure tu, afadhali ya Maximo timu ilikuwa inauwezo wa kumaliza walau pasi 4.
 
tumefanya shambulio butu

kwa kweli tuna kazi ila uhai umerudi kidogo
 
Kwa hili namtetea JK, mchawi wetu ni wachezaji wenyewe hawana akili ya mpira.
JK ana bahati mbaya sana, kila mechi anayohudhuria tunaumbuka mbele zake tu. Next time abaki Ikulu aangalie kwenye luninga labda tutabahatisha ha ha ha ha
 
mtangazaji anasema watanzania wanaongoza kwa kufanya faulu na refa anawapendelea
 
Bongo haijawa na mwalimu mzuri, huwezi mpanga mchezaji asiye na uzoefu kwenye mechi muhimu kama hii, tazama kocha wa wenzetu (Uganda) anafanya vitu si kawaida
 
JK ana bahati mbaya sana, kila mechi anayohudhuria tunaumbuka mbele zake tu. Next time abaki Ikulu aangalie kwenye luninga labda tutabahatisha ha ha ha ha
Kwa staili ya kubutua mpira mbele wakati yupo straika mmoja, sidhani kama rais yeyote angetoka na kicheko.
 
Back
Top Bottom