Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
Kama Kikwete yuko uwanjani basi kushinda ni ndoto!
Kwa hili namtetea JK, mchawi wetu ni wachezaji wenyewe hawana akili ya mpira.Ni kweli kabisa tatizo hapa ni ushirikina anaoendekeza Kikwete.
Kwa hili namtetea JK, mchawi wetu ni wachezaji wenyewe hawana akili ya mpira.
JK ana bahati mbaya sana, kila mechi anayohudhuria tunaumbuka mbele zake tu. Next time abaki Ikulu aangalie kwenye luninga labda tutabahatisha ha ha ha haKwa hili namtetea JK, mchawi wetu ni wachezaji wenyewe hawana akili ya mpira.
JK ana bahati mbaya sana, kila mechi anayohudhuria tunaumbuka mbele zake tu. Next time abaki Ikulu aangalie kwenye luninga labda tutabahatisha ha ha ha ha
Stars tukilala lawama zote kwa Kikwete.
dakika zimeisha sasa tuko kwenye nyongeza
Kwa staili ya kubutua mpira mbele wakati yupo straika mmoja, sidhani kama rais yeyote angetoka na kicheko.JK ana bahati mbaya sana, kila mechi anayohudhuria tunaumbuka mbele zake tu. Next time abaki Ikulu aangalie kwenye luninga labda tutabahatisha ha ha ha ha