kasimba123
JF-Expert Member
- Apr 18, 2010
- 1,753
- 816
Mi naona hawana akili ya mpira, huo sio upotoshaji, ni hali halisi.Acha upotoshaji.
Nani hana akili mpya kati ya wachezaji na nanihii?
Ngoma imelala
umevaa fulana yako ya kijani?
JK ana bahati mbaya sana, kila mechi anayohudhuria tunaumbuka mbele zake tu. Next time abaki Ikulu aangalie kwenye luninga labda tutabahatisha ha ha ha ha
Timu ya KIKWETE imefungwa na Morroco. Walisahau tu kuvaa NJANO na KIJANI peke yake, ahhh wangelifanana na Morroco.
Mwakani tutakuwa hatimaye na Timu ya Taifa ya Tanzania.
hapa ndio Tanzania nnapowapenda ikifungwa kafungwa kikwete ikishinda yetu sote
Maana yake nini?
Kipyenga cha mwisho kimepulizwa?