Tanzania (Taifa Stars) vs Morocco

Tanzania (Taifa Stars) vs Morocco

Pole sana watanzania wenzangu karibuni kijiweni tupate moja baridi tupooze majonzi
 
Mpira weisha..bongo tambarare.

Tumefungwa typical goal na sijaona shambulizi lolote la maana tulilofanya ktk dk 90.
 
JK ana bahati mbaya sana, kila mechi anayohudhuria tunaumbuka mbele zake tu. Next time abaki Ikulu aangalie kwenye luninga labda tutabahatisha ha ha ha ha

Au akienda asikae pale VIP
 
Timu ya KIKWETE imefungwa na Morroco. Walisahau tu kuvaa NJANO na KIJANI peke yake, ahhh wangelifanana na Morroco.

Mwakani tutakuwa hatimaye na Timu ya Taifa ya Tanzania.
 
Timu ya KIKWETE imefungwa na Morroco. Walisahau tu kuvaa NJANO na KIJANI peke yake, ahhh wangelifanana na Morroco.

Mwakani tutakuwa hatimaye na Timu ya Taifa ya Tanzania.


hapa ndio Tanzania nnapowapenda ikifungwa kafungwa kikwete ikishinda yetu sote
 
kikwete ana gundu hakuna mahali tutafanikiwa tumtose yaishe
 
Sisi tuna matatizo sana .. tunacheza mechi sana kwenye magazeti na Radio , uwanjani hatuna kitu..
 
Jamani vipi matokeo ya 'derby' ya Kenya & Uganda
 
Huyu kocha inabidi awarudishe darasani wachezaji wetu kwenda kuwafundisha upya jinsi ya kutoa pasi. Naona walikuwa na nafasi nyingi tu ya kujenga mashambulizi ya magoli lakini utakuta mtu anatoa pasi mbovu au anaenda kuachia shuti la mbali bila sababu.

Inakuwaje mtu hauko kwenye msukosuko wowote unashindwa kutoa pasi ya uhakika?
 
Back
Top Bottom