Tanzania (Taifa Stars) vs Morocco

Tanzania (Taifa Stars) vs Morocco

Hawa stars huko winga ya kushoto mbona hawaitumii naona wameng'ang'ania kulia tu!!!
 
Naona rais Kikwete amekalia 'kiti maalum' hivi huwa anabebewa kiti mpaka uwanjani? Maana hivi navionaga Ikulu tu. Anatabasamu muda wote lol
 
Hizi wild tackles tukicheza ugenini ni red cards hizi..wachezaji sijui wanavuta bange? ndio maana tunaishiaga kupigwa 5-0!
 
Dakika ya 35, Morocco wanajaribu lakini kipa wetu Kaseja anaichukua kirahisi
 
Naona Kaseja yupo sawa. Sijui kwa nini yule kocha aliyeondoka alikuwa hamtaki!
 
Mwarabu wa pili anajirusha kutafuta penati..picha sio nzuri huenda kweli ilikuwa peneti.
 
naona refa hataki masikhara kapiga mtu kadi ya njano kwa kulalamika inaelekea waarabu wanatafuta penalty wafunge basi warudi nyuma kuzuia
 
Back
Top Bottom