Tanzania (Taifa Stars) vs Morocco

Tanzania (Taifa Stars) vs Morocco

ajabu ya karne... mwimbo wa taifa saa hizi?
 
Mie nimeamua kuacha kuangalia mpira ngoja nikatafute moja baridi nishushie jioni hii sioni dalili ya stars kurejesha
Kuwa mvimilivu yakhe, hata kunguru sometimes hufanikiwa kulenga nanii chini kwa mpitanjia.
 
Yaani Tanzania We failed in everything, kuanzia maendeleo mpaka michezo, taifa halina vipaumbele, sijui tunalaana gani?. Delh tumeenda kama watalii tuu, tunaraha ya kushiriki, lakini si kushinda.
 
waarabu nnawasikiliza hapa wanajisifu kuwa timu yao ni nzuri sana kuliko ya tanzania

na wanasema kuwa kwa uchache watatuchapa matatu

asante kwa link
 
wanasema waarabu waswali na kuomba kwa timu zao ambazo zinacheza leo zote shinda ili umma wa waarabu ufurahi

mmh sasa hivi hili si kombe la afrika kila kitu hawa mabwana uarabu
 
mbona kapteni wao anataka kutupigia mchezaji wetu

wakilianzisha tutawatafuta chadema wawashughulikie
 
Nimekata tamaa, sioni uelekeo wa kushinda. Hata uwezo wa kuandika unaanza kushuka
 
Mrwanda kakosa goli zuri sana. Hawa Morocco hawana kipa mzuri lakini wachezaji wetu hata hawamjaribu kisawasawa
 
Back
Top Bottom