Tanzania (Taifa Stars) vs Morocco

Tanzania (Taifa Stars) vs Morocco

jamani uwanja umecheuka leo ni aibu kwa kweli kutufanyia kitu mbaya mbele ya umma huu ni aibu
 
hawa timu yao inaitwa simba au ? naona jamaa anasema fungeni goli la pili enyi usuud( wakimaanisha simba)

au ndio nnaona watu wamefurahi kuwa simba kashinda
 
hawa timu yao inaitwa simba au ? naona jamaa anasema fungeni goli la pili enyi usuud( wakimaanisha simba)

au ndio nnaona watu wamefurahi kuwa simba kashinda

Siyo kwa vile kwa vile wanaitwa simba, ni kwa sababu JK ni mgeni rasmi sasa mashabiki hawamtaki maana anataka kutumia ushindi huo kama kampeni kwake,
Afadhali tufungwe tu ili asipate ujiko wa bure kwenye timu mbovu
 
muniri hamdawi anatoka na kuingia yussuf haji

huyu jamaa sijui vipi dakika kumi zimebaki
 
mzee wetu naona amekubali matokeo ameamua kukaa kwenye benchi (nakusudia kocha ), tusubiri hayo matusi yake kwa wenye kuosha vinywa si haba maximo kapumua

watanzania safari bado
 
Back
Top Bottom