WamejitahidiVijana wa tanzania wamecheza mpira mzur sana hasa simon msuva na samatha sema uwanja ulikuwa unatereza alaf lefalii katunyima penat baada ya samata kuangushwa ndan ya kumi na nane
Vijana wamecheza vizur sana sema hawakuwa na bahat
Nawapongeza sana vijana wa tz mkiendelea kupiga ball kama mlilolipiga leo hakika mtafika mbali sana
Mungu awabaliki sana
wewe inaonekana haujali kabisa umeridhika na matokeo eeh!Yani ulivoitoa iyo hbr kama vile sio mtanzania, nadhan nyinyi wengine mnafurahia tunapopata matatizo kama taifa.
Mkifika mbali mnarudi tens karibu!Vijana wa tanzania wamecheza mpira mzur sana hasa simon msuva na samatha sema uwanja ulikuwa unatereza alaf lefalii katunyima penat baada ya samata kuangushwa ndan ya kumi na nane
Vijana wamecheza vizur sana sema hawakuwa na bahat
Nawapongeza sana vijana wa tz mkiendelea kupiga ball kama mlilolipiga leo hakika mtafika mbali sana
Mungu awabaliki sana