Tanzania(Taifa Stars) yanyolewa bila wembe na Algeria goli 4 kwa 1

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Timu ya Taifa(Taifa Stars) imeambulia kipigo cha mabao 4 kwa 1 kutoka kwa timu ya Taifa ya Algeria katika mchezo wa kirafiki

> Goli pekee la kufutia machozi la Taifa Stars limefungwa na Simon Msuva anayekipiga katika Klabu ya Difaa El Jadid ya nchini Morocco

IMG-20180322-WA0044.jpg

International Friendly Match‬
‪Algeria 4-1 Tanzania ‬
‪⚽️Baghdad‬
‪⚽️Msuva‬
‪⚽️Kapombe (og)‬
‪⚽️Carl‬
⚽️Baghdad
‪84'‬
 
Yani ulivoitoa iyo hbr kama vile sio mtanzania, nadhan nyinyi wengine mnafurahia tunapopata matatizo kama taifa.
 
Vijana wa tanzania wamecheza mpira mzur sana hasa simon msuva na samatha sema uwanja ulikuwa unatereza alaf lefalii katunyima penat baada ya samata kuangushwa ndan ya kumi na nane

Vijana wamecheza vizur sana sema hawakuwa na bahat

Nawapongeza sana vijana wa tz mkiendelea kupiga ball kama mlilolipiga leo hakika mtafika mbali sana

Mungu awabaliki sana
 
Linapokuja swala la michezo MTU akitetea Taifa Stars nahisi ni Gaidi..hajui mioyo ya Watanzania
 
Kwenye michezo, ni eneo gani tunafanya vizuri kama taifa?
 
Huyo Kocha hastahili Timu ya Taifa, pia kuna wachezaji wanaadhalilisha Club walizotokea
..aliyepanga kikosi hakujua anaenda kucheza mechi au majaribio..
 
Vijana wa tanzania wamecheza mpira mzur sana hasa simon msuva na samatha sema uwanja ulikuwa unatereza alaf lefalii katunyima penat baada ya samata kuangushwa ndan ya kumi na nane

Vijana wamecheza vizur sana sema hawakuwa na bahat

Nawapongeza sana vijana wa tz mkiendelea kupiga ball kama mlilolipiga leo hakika mtafika mbali sana

Mungu awabaliki sana
Wamejitahidi
 
Mkifika mbali mnarudi tens karibu!
 
Hongereni sana Yanga,mmejitahidi kwa sarakasi zenu,sisi wazalendo tulitegemea magoli kumi,Mmejituma sana,kweli kiwango cha Yanga kipo juu,hongerenj
 
Back
Top Bottom