Tanzania(Taifa Stars) yanyolewa bila wembe na Algeria goli 4 kwa 1

Kuna wachezaji viwango hewa . Inabidi mtukufu aingilie kati na kuwatumbua
 
Nawapongeza sana taifa staz wamejitahidi, na mpira wetu unakua, mnaolaum kumbuka tunacheza na mtu ambae yuko nafasi ya 47kwenye viwango vya fifa huku sisi tukiwa nafasi ya 167, kufungwa ilikua haikwepeki ukizingatia tulikua kwao.

Pili ni nyie mnaokaa kwenye tv mnamwona mahrez anavosumbua vigogo epl, nabii wanavosumbua vgogo ulaya, afu leo eti ndo anakabwa na gadiel michael, acheni utani kipigo kilikua unkwepabo, ila nashukuru vijana wamejitaidi kucheza defence, ata tumepigwa nne ni jambo la ahueni
 
Dreadful mind from Shameful Man
 
Masikini Samata anajuta kuzaliwa bongo land
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…