Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dreadful mind from Shameful ManNawapongeza sana taifa staz wamejitahidi, na mpira wetu unakua, mnaolaum kumbuka tunacheza na mtu ambae yuko nafasi ya 47kwenye viwango vya fifa huku sisi tukiwa nafasi ya 167, kufungwa ilikua haikwepeki ukizingatia tulikua kwao.
Pili ni nyie mnaokaa kwenye tv mnamwona mahrez anavosumbua vigogo epl, nabii wanavosumbua vgogo ulaya, afu leo eti ndo anakabwa na gadiel michael, acheni utani kipigo kilikua unkwepabo, ila nashukuru vijana wamejitaidi kucheza defence, ata tumepigwa nne ni jambo la ahueni
Masikini Samata anajuta kuzaliwa bongo landTimu ya Taifa(Taifa Stars) imeambulia kipigo cha mabao 4 kwa 1 kutoka kwa timu ya Taifa ya Algeria katika mchezo wa kirafiki
> Goli pekee la kufutia machozi la Taifa Stars limefungwa na Simon Msuva anayekipiga katika Klabu ya Difaa El Jadid ya nchini Morocco
View attachment 722670
International Friendly Match
Algeria 4-1 Tanzania
⚽️Baghdad
⚽️Msuva
⚽️Kapombe (og)
⚽️Carl
⚽️Baghdad
84'