WAKO WAPI WATU WAKO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 2,373
- 3,139
Bangi mbaya sana, Kha!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu ya Taifa(Taifa Stars) imeambulia kipigo cha mabao 4 kwa 1 kutoka kwa timu ya Taifa ya Algeria katika mchezo wa kirafiki
> Goli pekee la kufutia machozi la Taifa Stars limefungwa na Simon Msuva anayekipiga katika Klabu ya Difaa El Jadid ya nchini Morocco
View attachment 722670
Matatizo mengine ni yakujitakia tu.Yani ulivoitoa iyo hbr kama vile sio mtanzania, nadhan nyinyi wengine mnafurahia tunapopata matatizo kama taifa.
Yaan siasa zinaharibu kila kitu,kuna watu wanakera sana kwa kweli,i wish i could be someone.....Yani ulivoitoa iyo hbr kama vile sio mtanzania, nadhan nyinyi wengine mnafurahia tunapopata matatizo kama taifa.
Acha utaniVijana wa tanzania wamecheza mpira mzur sana hasa simon msuva na samatha sema uwanja ulikuwa unatereza alaf lefalii katunyima penat baada ya samata kuangushwa ndan ya kumi na nane
Vijana wamecheza vizur sana sema hawakuwa na bahat
Nawapongeza sana vijana wa tz mkiendelea kupiga ball kama mlilolipiga leo hakika mtafika mbali sana
Mungu awabaliki sana
Yanga au MayangaHongereni sana Yanga,mmejitahidi kwa sarakasi zenu,sisi wazalendo tulitegemea magoli kumi,Mmejituma sana,kweli kiwango cha Yanga kipo juu,hongerenj
Utekajii wa binadamu wenzetuKwenye michezo, ni eneo gani tunafanya vizuri kama taifa?
Tuwaombe wamasai wawaongezee moraliwachezaji wa taifa stars wanahitaji mtu wa kuwapandisha morali ...morali yao ipochini sana wanakosa ile ari ya upambanaji
Kwanini mmechezesha Yanga????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tanzania tunachojua ni majungu... Udaku/umbea roho mbaya na vitu vya kijinga sio Mpira wala vitu vya msingi...... Then hili litimu lifutiliwe mbali huko wanamaliza hela tu msiiiiiieeew
Sasa mkuu unadhani tufanye nini kwani mpira ni sayansi, na sio kutegemea miujiza!! Kwa maandalizi gani mliyofanya hadi kumfunga Algeria?!! Nyie ni fitina tu mala kumfungia mtu maisha, mala vilee!! Hata congo wiki ijayo huwezi mfunga.Yani ulivoitoa iyo hbr kama vile sio mtanzania, nadhan nyinyi wengine mnafurahia tunapopata matatizo kama taifa.