Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukimbiza kukuKwenye michezo, ni eneo gani tunafanya vizuri kama taifa?
Piga mbwa haoTimu ya Taifa(Taifa Stars) imeambulia kipigo cha mabao 4 kwa 1 kutoka kwa timu ya Taifa ya Algeria katika mchezo wa kirafiki
> Goli pekee la kufutia machozi la Taifa Stars limefungwa na Simon Msuva anayekipiga katika Klabu ya Difaa El Jadid ya nchini Morocco
View attachment 722670
International Friendly Match
Algeria 4-1 Tanzania
[emoji460]️Baghdad
[emoji460]️Msuva
[emoji460]️Kapombe (og)
[emoji460]️Carl
[emoji460]️Baghdad
84'
Yani ulivoitoa iyo hbr kama vile sio mtanzania, nadhan nyinyi wengine mnafurahia tunapopata matatizo kama taifa.
Timu ya taifa LA wajingaKweli wamejitahidi 11- 0
Kila siku mnajifunzaKiufundi Mimi nimefurahi hata kama tumefungwa hizo goli kwani kuna Kitu kikubwa mno tumejifunza kwa Kucheza na Watu ambao wametuzidi kwa kila kitu. Tena leo tumejitahidi kwani katika ile mechi ya Kimashindano tulifugwa Wiki / Goli Saba ( 7 ) nzuri tu lakini leo tumezipunguza na kufikia hizo Nne ( 4 ) hali ambayo inaonyesha kuwa tumejitahidi na taratibu Timu yetu ikiwa inapata mechi za Kirafiki na Mataifa makubwa na yaliyotuzidi basi huko mbeleni tutakuja kuwa wazuri mno.
mfungaji wa goal la Tanzania ni msuva au kichuya?Timu ya Taifa(Taifa Stars) imeambulia kipigo cha mabao 4 kwa 1 kutoka kwa timu ya Taifa ya Algeria katika mchezo wa kirafiki
> Goli pekee la kufutia machozi la Taifa Stars limefungwa na Simon Msuva anayekipiga katika Klabu ya Difaa El Jadid ya nchini Morocco
View attachment 722670
International Friendly Match
Algeria 4-1 Tanzania
⚽️Baghdad
⚽️Msuva
⚽️Kapombe (og)
⚽️Carl
⚽️Baghdad
84'