kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Kama wewe, ambaye tunadhani ndiye msomi,hujui uwanja wa kisasa wa mpira ulijengwa na Mkapa na si JK,unadhani Taifa stars kuifunga Algeria ni rahisi hivyo?Hatupo serious!Ushauri wa Zitto ufuate, pesa yote ya michezo ya kubahatisha ipelekwe kwenye michezo. Huwezi kufanikiwa bila kuwekeza. Jk alianzisha uwanja bora kabisa lakini umekua wakupigia selfie. Tatizo bajet hakuna.
Lakini pia watanzania tunapenda mawaziri wa chache wenye majukumu mengi bila kujua athari zake, utasikia mtu anaitwa waziri wa Habari, sanaa, utamaduni na michezo. Kwa bajeti gani na kichwa gani abebe hayo mambo yote? Ona sasa week hii TFF walikua bize kufungiana wizara nayo ilikua bize kupambana na wasanii matokeo yake tumepigwa tobo.
Sote tumekubaliana vyerehani vinne ni kiwanda bado una matumaini ya kuifunga Algeria?!!