Tanzania, Tanzania. Nakupenda Kwa Moyo Wangu Wote." Sasa "Tazama Ramani..."

Kalamu

Platinum Member
Joined
Nov 26, 2006
Posts
22,898
Reaction score
33,309
Siku hii ya leo ni vizuri tukumbushane, na tuazimie kuwa, Tanzania Itasimama tena kwa Heshima miongoni mwa mataifa duniani. Tanzania will rise again.

Tanzania, Tanzania Nakupenda kwa moyo wote.
Nchi yangu Tanzania, jina lako ni tamu sana.

Nilalapo nakuota wewe, niamkapo ni heri mama wee...
Tanzania, Tanzania,. Nakupenda kwa moyo wote.

Ninapokuwa safarini, kutazama maajabu, biashara nayo makazi sitaweza kukusahau wewe.

__________________________________________________________________
Kama unayo ramani karibu yako, iwe ya dunia, Afrika au Tanzania yenyewe.
Hebu itazame kwa makini.

Sijui kama uliwahi kutazama kwa makini makubwa, na kutambua uzuri wa hii nchi hata kwenye ramani hizo. Iangalie vizuri sasa utaelewa ninachojaribu kukielezea hapa.

I mean, literally Tanzania is unique, and very distinctive among nations.

Tazama ramani utaona nchi nzuri. Nchi hiyo huitwa Tanzania.
Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka.

Nasema kwa kinywa, halafu kwa kufikiri,.
Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania.

Majira yetu haya yamekuwaje sasa?
UTUMWA wa nchi Nyerere aliukomesha
_______
Chemchemu ya furaha

Kila mara kwako niwe nikiburudika
Amani nipe tumaini
Kila mara kwako niwe nikiburudika.
-----
Nakupenda hasa hatanikikusafiri

Nitalalamika kukuacha Tanzania
_______

Nchi yenye Azimio
Ndio peke yako mwanga wa waTanzania
NINAKUTHAMINI HADHARANI NA MOYONI

Unilinde nami nikulinde hadi kufa
Kila mara kwako niwe nikiburudika

Mpangilio wa hizi tenzi unaweza usiwe sahihi sana, lakini kusudio ni ujumbe unaowasilishwa, hasa kwa siku kama hii ya leo, ya kumbukumbu ya vijana wetu wengi waliopoteza maisha yao kwa kuitamani tu nchi yao nzuri.

"TANZANIA WILL RISE AGAIN"
 
Ahsante sana mkuu kwa ukumbusho.

Ninaipenda nchi ya Tanzania ila nawachukia wauaji, majizi, na mafisadi.

Kwa heshima ya waliouwawa kikatili na kundi tajwa juu hapo leo nitatinga full black katika mavazi.

Ninaamini haki itapatikana na damu zila hazitawahi kwenda bure.

Tuwakumbuke watanzania ambao walisimama kwa nguvu moja barabarani wazi kuonyesha na kuongea hawamtaki mtawala dhalimu ambaye aliona kuwaua ndio njia bora.
 
Siku hii ya leo ni vizuri tukumbushane, na tuazimie kuwa, Tanzania Itasimama tena kwa Heshima miongoni mwa mataifa duniani. Tanzania will rise again.

Tanzania, Tanzania Nakupenda kwa moyo wote.
Nchi yangu Tanzania, jina lako ni tamu sana.

Nilalapo nakuota wewe, niamkapo ni heri mama wee...
Tanzania, Tanzania,. Nakupenda kwa moyo wote.

Ninapokuwa safarini, kutazama maajabu, biashara nayo makazi sitaweza kukusahau wewe.

__________________________________________________________________
Kama unayo ramani karibu yako, iwe ya dunia, Afrika au Tanzania yenyewe.
Hebu itazame kwa makini.

Sijui kama uliwahi kutazama kwa makini makubwa, na kutambua uzuri wa hii nchi hata kwenye ramani hizo. Iangalie vizuri sasa utaelewa ninachojaribu kukielezea hapa.

I mean, literally Tanzania is unique, and very distinctive among nations.

Tazama ramani utaona nchi nzuri. Nchi hiyo huitwa Tanzania.
Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka.

Nasema kwa kinywa, halafu kwa kufikiri,.
Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania.

Majira yetu haya yamekuwaje sasa?
UTUMWA wa nchi Nyerere aliukomesha
_______
Chemchemu ya furaha

Kila mara kwako niwe nikiburudika
Amani nipe tumaini
Kila mara kwako niwe nikiburudika.
-----
Nakupenda hasa hatanikikusafiri

Nitalalamika kukuacha Tanzania
_______

Nchi yenye Azimio
Ndio peke yako mwanga wa waTanzania
NINAKUTHAMINI HADHARANI NA MOYONI

Unilinde nami nikulinde hadi kufa
Kila mara kwako niwe nikiburudika

Mpangilio wa hizi tenzi unaweza usiwe sahihi sana, lakini kusudio ni ujumbe unaowasilishwa, hasa kwa siku kama hii ya leo, ya kumbukumbu ya vijana wetu wengi waliopoteza maisha yao kwa kuitamani tu nchi yao nzuri.

"TANZANIA WILL RISE AGAIN"
unafiki nonsense kama huu ni very useless gentleman.

Labda utasimama wewe. Yaani waTanzania waache kuchapa kazi zao wasimamie unafiki, it can't be 🐒
 
TikTok - Make Your Day This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
 
Heshima ya nchi hii itarudi CCM ikitika madarakani
 
unafiki nonsense kama huu ni very useless gentleman.

Labda utasimama wewe. Yaani waTanzania waache kuchapa kazi zao wasimamie unafiki, it can't be 🐒
Just imagine for a moment; a truly sane individual to have such incongrous ideas in his head!

Hii kazi uliyopewa inakuumiza sana. And it shows vividly in the recent trash spread throughout this forum.
The harder it get for Samia, the more desperation it shows from evil individuals like yourself.

Hamsalimiki.
 
Nyuzi ZINGINE zinakuzidi umuri mkata viuno
Uwepo wa huyu Tlaatlaah humu jamvini utakoma siku Samia atakapofurumushwa, na hutamsikia tena, kama ilivyo kwa takataka nyingi nyinginezo kama Lucas Mshamba.

Sababu pekee inayomleta JF ni Samia tu, basi. Nje ya hapo hutamsikia tena.
 
Hii ni kweli kabisa sio uongo
 
Heshima ya nchi hii itarudi CCM ikitika madarakani
Binafsi nilishapita ngazi hiyo ya kuiwazia CCM miaka kadhaa nyuma. Kwangu CCM ilikwisha wakati wa Kikwete.

Haya yote tunayoyashuhudia sasa yakifanywa kwa jina tu la CCM; wakati CCM ilishaaga dunia miaka kadhaa nyuma.
Kwa hiyo, wengi wetu tumebaki tukiisingizia CCM kufanya haya maovu yote, wakati CCM yenyewe ni marehemu wa siku nyingi..
Hebu niambie, kuna CCM zaidi ya Samia na Genge lake sasa hivi?

Kwa hiyo nitakuelewa vizuri sana ukisema tukiwatokomeza Samia na Genge lake (CCM kwa jina), tutakuwa tumeondokana na adha hii inayolikabili taifa hili sasa hivi.

Hivi vyombo vya DOLA na mitutu yake, hakuna CCM huko. Tokomeza Samia na Genge linalovitumia vyombo hivyo, nchi inakuwa salama.
 
Just imagine for a moment; a truly sane individual to have such incongrous ideas in his head!

Hii kazi uliyopewa inakuumiza sana. And it shows vividly in the recent trash spread throughout this forum.
The harder it get for Samia, the more desperation it shows from evil individuals like yourself.

Hamsalimiki.
Gentleman,
kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu ni kazi ya kujitolea kizalendo kwa maslahi mapana ya taifa letu.

Na inafanyika kwa Neema na Baraka za Mungu tu, haihiaji malipo 🐒
 
Uwepo wa huyu Tlaatlaah humu jamvini utakoma siku Samia atakapofurumushwa, na hutamsikia tena, kama ilivyo kwa takataka nyingi nyinginezo kama Lucas Mshamba.

Sababu pekee inayomleta JF ni Samia tu, basi. Nje ya hapo hutamsikia tena.
Ni kweli, kama vile Musiba alivyokuwa kikaragosi wa awamu ya 5.
Lakini hivi sasa, kimya kabisa kama vile hajawahi kuwepo.
 
Ninaamini haki itapatikana na damu zila hazitawahi kwenda bure.
Tupo pamoja sana katika uamini huu.

Ninachotaka kusisitizia waTanzania wote wakitambue vyema. Tanzania ni nchi isiyomilikiwa na mtu au kundi lolote lile. Samia na Genge lake hawezi kuwa mmiliki, wala nembo ya taifa hili.

Samia na Genge lililoiteka Tanzania litatokomezwa na waTanzania, na nchi ya heshima itarudi mahala pake.
 
Na inafanyika kwa Neema na Baraka za Mungu tu, haihiaji malipo
Huu ujumbe naufahamu vizuri sana, na nilishakueleza mara kadhaa humu humu JF.
Tatizo lako ni kujifanya huna kumbukumbu, na hii ni mbinu mnayoitumia nyinyi wote katika hii kazi mbovu kabisa mnayoifanya kwa kisingizio cha hizo "Neema na Baraka za "mungu" wenu mnayemwelekeza nyinyi.

Hivi Steven Joel Ntamusana' kakuachia kazi hii ngumu uiendeleze mwenyewe?
Hizi "Neema na Baraka" anazowazawadia huyu mungu wenu kwa kusimama na Samia kutenda maovu kwa waTanzania, hivi kweli huyu ni "mungu"?

Kazi yako kubwa inakuwa kuchochea mfarakano katika jamii ya waTanzania, kwa kutegemea hizo "Neema na Baraka" toka kwa mungu wa aina hiyo, anayetafuta kuvuruga umoja wa waTanzania?
Hii ndiyo kazi atakayokupa thawabu huyu mungu wako kwa kuitimiza?

Huyu ni "Mungu" kweli, au ni shetani?
 
Mungu ✅
mungu ❌

kwa style hiyo,
utakosa utulivu na ufanisi kwenye fikra na mawazo yako.

hakikikisha kuna Baraka na Neema za Mungu moyoni mwako kwanza, ndipo unaweza kukabiliana na mawimbi au dhoruba zozote zile za kisiasa, kijamii na kiuchumi katika kila jukwaani. Otherwise utaishia kujipiga kifua for nothing, while wengine tunasonga mbele 🐒
 
Back
Top Bottom