Tanzania, Tanzania. Nakupenda Kwa Moyo Wangu Wote." Sasa "Tazama Ramani..."

Tanzania, Tanzania. Nakupenda Kwa Moyo Wangu Wote." Sasa "Tazama Ramani..."

Wewe huna uhusiano wa aina yoyote un aokaribiana na Mungu wa aina yoyote ile.
You're a devil's agent all throug!.
nafurahi umeanza kumjua na kumugeshimu Mungu, na kuachana na ushirikina wa mi-ungu.

well done,
acha porojo sasa na kujipiga kifua kama shetani, changia hoja mahususi mezani bila mihemko wala makasiriko na itapendeza zaidi 🐒
 
Usije ukasahau kwamba wewe ni mzoga tu wa nguruwe aliyekuwa anafugwa na Samia Suluhu Hassan. Huu mvundo wa huu mzoga huko mitaani umeleta usumbufu mkubwa, hata mapaka wa mitaani wameshindwa kuukabili; na yale mandege (kunguru ya India) na yenyewe yameshindwa kukabiliana na mzoga huu.

Sasa waTanzania watasafisha mitaa yao, kuanzia kwa mizoga kama wewe.
Jiandae na huyo shetani unayemtumikia na yeye atakutosa tu!
 
Madaraka yana nguvu ya ajabu.
Hakikisha unayatumia VIZURI.
UONGOZI ni busara ,hekima na uvumilivu.
Mungu aliyemuumba angekuwa na hasira Nina uhakika Leo tusingekuwepo.ila anatuvumilia.
Usiumize wale ambao wapo kinyume na wewe eti Kwa sababu una nguvu.madaraka uisha ,nguvu uisha .wema na uovu vinabaki milele
 
Back
Top Bottom