Tanzania Tax regime inahitaji mabadiliko ya kimawazo, bidhaa zile zile majirani bei ni ndogo kuliko hapa kwetu!

Tanzania Tax regime inahitaji mabadiliko ya kimawazo, bidhaa zile zile majirani bei ni ndogo kuliko hapa kwetu!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Msimamo wa Tax regime ya nchi yetu ina matatizo Ya kimtazamo.

Tax-kodi inakuwa set for maximum extraction, yaani kodi zetu zinajaribu kufyonza fadha kubwa iwezekanavyo toka kwa mfanyibiashara au any business deal kiasi ambacho bei ya bidhaa zetu zinapanda bei hadi kukosa ushindani.

Hili ni tatizo la Wizara ya Fedha, Mipango, Uchumi na Biashara, maana mwanzo wa tatizo ni bad policy.

Tatizo kubwa ni maximization of tax collection kwa single transaction kwa walipa kodi wale wachache waliopo.

Wizara yetu ya Fedha na Mipango wangekuwa na policy ya low taxes on a broader tax base hapangekuwepo tatizo la bidhaa za majirani kuwa cheaper kuliko kwetu hapa.

Zambia, Congo na hata Malawi, zina bidhaa zao nyingine zinapita hapa hapa bandarini kwetu, lakini retail prices zao bado ziko chini Kuliko hapa kwetu.

Wizara ya Fedha na Mipango ijitafakari.
 
Back
Top Bottom