Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Media za dunia zinajulikana, BBC, CNN, ABC, VOA, DW, FRANCE24, REUTERS, AFP, ALJAZEERA NA sa hivi kwa mbali Media ya uchina.
We umesikia habari za wamalawi unakuja kutuambia ni Media ya kimataifa, uko serious kweli au unatania????
Dunia kijiji bro punguza mihemuko chama kina wenyeweMedia za dunia zinajulikana, BBC, CNN, ABC, VOA, DW, FRANCE24, REUTERS, AFP, ALJAZEERA NA sa hivi kwa mbali Media ya uchina.
We umesikia habari za wamalawi unakuja kutuambia ni Media ya kimataifa, uko serious kweli au unatania????
Nenda kwenye hizo media nilizokupa halafu leta taarifa kutoka kwao.Dunia kijiji bro punguza mihemuko chama kina wenyewe
Sioni ajabu kwa kuwa hiyo ndiyo kazi ya vyombo vya habari. Kuijulisha dunia yale yanayoendelea mahali fulani.Labda ni hisia zangu tu ila naona kama vile Rais Samia kapunguza safari za mara kwa mara nje ya nchi.
Kama kweli safari zake zimepungua, moja ya sababu yaweza kuwa ni sifa mbaya ya serikali yake kuhusu uminywaji wa demokrasia.
Habari za kukamatwa kwa Tundu Lisu na zile za kutokushiri chaguzi, tayari zimeshaanza kuangaziwa na vyombo vya habari vya kimataifa.
View: https://youtu.be/XhtQ6ncUCEo?si=S8Px6mlI4KaKqsJe
Taratibu gani hizo zilizofuatwa wakati wa kumkamata?Sioni ajabu kwa kuwa hiyo ndiyo kazi ya vyombo vya habari. Kuijulisha dunia yale yanayoendelea mahali fulani.
Sasa Tundu kuanzisha uasi ili kuzuia uchaguzi siyo habari ya kuishia kwenye Mwananchi na ITV tu. Ngoja dunia ijulishwe. Hakuna cha ajabu. Maana taratibu zote za kisheria na haki za binadamu zimefuatwa katika kumkamata na kumfkisha Mahakamani.
Sasa tuiachie Mahakama ifanye kazi yake na tusiendeshwe na kelele za wanaharakati wanaopeleka huko BBC, CNN, VOA, DW etc
Kwan kilichosemwa ni uongoMedia za dunia zinajulikana, BBC, CNN, ABC, VOA, DW, FRANCE24, REUTERS, AFP, ALJAZEERA NA sa hivi kwa mbali Media ya uchina.
We umesikia habari za wamalawi unakuja kutuambia ni Media ya kimataifa, uko serious kweli au unatania????
Tii amri bila shurti, wakija wana ku arrest baada ya kukuambia sababu.Taratibu gani hizo zilizofuatwa wakati wa kumkamata?
Je alipokuwa anaenda huko nje hizo media ulizozitaja hapo zilikuwa zinatangaza habari zake?Nenda kwenye hizo media nilizokupa halafu leta taarifa kutoka kwao.
Tatizo unataka kutuongopea ili uonekana unajua Sanaa kumbe we ni mbugila tu!
Kwenye habari tunaangalia vile vyenye interest kwa audience yako na usasa wake!Je alipokuwa anaenda huko nje hizo media ulizozitaja hapo zilikuwa zinatangaza habari zake?
Bila ya shaka, kwani ACT, CUF, TLP N.K ni vyama tawala????Kwan kilichosemwa ni uongo
Sioni ajabu kwa kuwa hiyo ndiyo kazi ya vyombo vya habari. Kuijulisha dunia yale yanayoendelea mahali fulani.
Sasa Tundu kuanzisha uasi ili kuzuia uchaguzi siyo habari ya kuishia kwenye Mwananchi na ITV tu. Ngoja dunia ijulishwe. Hakuna cha ajabu. Maana taratibu zote za kisheria na haki za binadamu zimefuatwa katika kumkamata na kumfkisha Mahakamani.
Sasa tuiachie Mahakama ifanye kazi yake na tusiendeshwe na kelele za wanaharakati wanaopeleka huko BBC, CNN, VOA, DW etc
Kwani Lissu ni nani akamatwe kwa kubembelezwa? Tofauti ya haini na jambazi ni nini?Taratbu zipi za kisheria zilizofuatwa wewe. ndio uliyemkamata hebu tujuze,maana tunasikia alikamatwa kama jambazi hizo ndizo taratibu