Tanzania tena kwenye habari za kimataifa!

Labda ni hisia zangu tu ila naona kama vile Rais Samia kapunguza safari za mara kwa mara nje ya nchi.

Kama kweli safari zake zimepungua, moja ya sababu yaweza kuwa ni sifa mbaya ya serikali yake kuhusu uminywaji wa demokrasia.

Habari za kukamatwa kwa Tundu Lisu na zile za kutokushiri chaguzi, tayari zimeshaanza kuangaziwa na vyombo vya habari vya kimataifa.

View: https://youtu.be/XhtQ6ncUCEo?si=S8Px6mlI4KaKqsJe

Baada ya kurithi urais aliwaita waliokuwa wamekimbia nchi kwamba warudi tujenge nchi,huenda nayeye sasa amegundua kuzurura hakuna afya kwa nchi ameamua abaki hapa hapa tujenge nchi kwa pamoja.
 
Media za dunia zinajulikana, BBC, CNN, ABC, VOA, DW, FRANCE24, REUTERS, AFP, ALJAZEERA NA sa hivi kwa mbali Media ya uchina.

We umesikia habari za wamalawi unakuja kutuambia ni Media ya kimataifa, uko serious kweli au unatania????
Arguments zingine hazina kichwa wala miguu! What makes international news international?
 
coverage ya habari iwe kwenye vichwa vikubwa vya habari katika media mbalimbali.

Kama si mtu wa masuala ya media, basi jaribu hata kufuatilia wanayoyasema newscaster wakati wa habari hasa kwenye vyombo nilivyoviorodhesha ndio utagundua what is an international news!!!
 
Labda ni hisia zangu tu ila naona kama vile Rais Samia kapunguza safari za mara kwa mara nje ya nchi.

Kama kweli safari zake zimepungua, moja ya sababu yaweza kuwa ni sifa mbaya ya serikali yake kuhusu uminywaji wa demokrasia.

Habari za kukamatwa kwa Tundu Lisu na zile za kutokushiri chaguzi, tayari zimeshaanza kuangaziwa na vyombo vya habari vya kimataifa.

View: https://youtu.be/XhtQ6ncUCEo?si=S8Px6mlI4KaKqsJe

Mwaka wa uchaguzi huu watu wanajiandaa na local politics.

Mwaka huu hata UNGA usishangae akaenda Balozi Kombo.
 
Ukisema wanawake hawapati mimba kwa kujamiiana na wanaume haimaanishi ni kweli!
Unataka kumaanisha nini elezea kwanza istilahi za maneno yako kwenye hili.

Mimi sio smart kwenye kuongea, ila hapa kwenye kuandika mtakimbia hata mkiwa elfu 20!
 
Media za dunia zinajulikana, BBC, CNN, ABC, VOA, DW, FRANCE24, REUTERS, AFP, ALJAZEERA NA sa hivi kwa mbali Media ya uchina.

We umesikia habari za wamalawi unakuja kutuambia ni Media ya kimataifa, uko serious kweli au unatania????
Hata RT na Sputnik hawajasema, Mr Nyani anakuja kutuzingua hapa na vyombo vya habari vya mitaani!
 
Labda ni hisia zangu tu ila naona kama vile Rais Samia kapunguza safari za mara kwa mara nje ya nchi.

Kama kweli safari zake zimepungua, moja ya sababu yaweza kuwa ni sifa mbaya ya serikali yake kuhusu uminywaji wa demokrasia.

Habari za kukamatwa kwa Tundu Lisu na zile za kutokushiri chaguzi, tayari zimeshaanza kuangaziwa na vyombo vya habari vya kimataifa.

View: https://youtu.be/XhtQ6ncUCEo?si=S8Px6mlI4KaKqsJe

Well Documented!
 
Huyu Bibi alianza vizuri sana, Ila ataishia The Hague
 
Media za dunia zinajulikana, BBC, CNN, ABC, VOA, DW, FRANCE24, REUTERS, AFP, ALJAZEERA NA sa hivi kwa mbali Media ya uchina.

We umesikia habari za wamalawi unakuja kutuambia ni Media ya kimataifa, uko serious kweli au unatania????
Nini maana ya kimataifa kwa ufahamu wako?...Kwani Malawi iko ndani ya Tanzania?
 
Sioni ajabu kwa kuwa hiyo ndiyo kazi ya vyombo vya habari. Kuijulisha dunia yale yanayoendelea mahali fulani.

Sasa Tundu kuanzisha uasi ili kuzuia uchaguzi siyo habari ya kuishia kwenye Mwananchi na ITV tu. Ngoja dunia ijulishwe. Hakuna cha ajabu. Maana taratibu zote za kisheria na haki za binadamu zimefuatwa katika kumkamata na kumfkisha Mahakamani.

Sasa tuiachie Mahakama ifanye kazi yake na tusiendeshwe na kelele za wanaharakati wanaopeleka huko BBC, CNN, VOA, DW etc
Vip kuhusu ile kesi ya Ugaidi haikuwa Mahakamani?? Je Mahakama hiyo ilijulisha nini Dunia kuhusu kesi ile??

Kesi zote za mchongo toka kwa Viongozi uchwara wa CCM zitamalizwa Mahakamani kimchongo.

Mnazinajis Mahakama zetu kwa uroho wenu wa madaraka. Halafu unakuja kubwabwaja humu. Upuuzi mtupu.
 
Media za dunia zinajulikana, BBC, CNN, ABC, VOA, DW, FRANCE24, REUTERS, AFP, ALJAZEERA NA sa hivi kwa mbali Media ya uchina.

We umesikia habari za wamalawi unakuja kutuambia ni Media ya kimataifa, uko serious kweli au unatania????
Hii sio media ya mpwapwa?
 
Vi kuhusu ile kesi ya Ugaidi hakuwa Mahakamani?? Je Mahakama hiyo ilijulisha nini Dunia kuhusu kesi ile??

Kesi zote za mchongo toka kwa Viongozi uchwara wa CCM zitamalizwa Mahakamani kimchongo.

Mnazinajis Mahakama zetu kwa uroho wenu wa madaraka. Halafu unakuja kubwabwaja humu. Upuuzi mtupu.
Hili neno Kimchongo mchongo linapata umaarufu sana itabidi liingizwe kwenye kamusi ya Kiswahili 🤣 !
 
Vi kuhusu ile kesi ya Ugaidi hakuwa Mahakamani?? Je Mahakama hiyo ilijulisha nini Dunia kuhusu kesi ile??

Kesi zote za mchongo toka kwa Viongozi uchwara wa CCM zitamalizwa Mahakamani kimchongo.

Mnazinajis Mahakama zetu kwa uroho wenu wa madaraka. Halafu unakuja kubwabwaja humu. Upuuzi mtupu.
Nanyi mnanajisi jamii yetu kwa kutaka kutuletea mambo ya LGBT kutoka Ubelgiji
 
Back
Top Bottom