hamada umelewa
JF-Expert Member
- Dec 17, 2017
- 575
- 999
Baada ya kurithi urais aliwaita waliokuwa wamekimbia nchi kwamba warudi tujenge nchi,huenda nayeye sasa amegundua kuzurura hakuna afya kwa nchi ameamua abaki hapa hapa tujenge nchi kwa pamoja.Labda ni hisia zangu tu ila naona kama vile Rais Samia kapunguza safari za mara kwa mara nje ya nchi.
Kama kweli safari zake zimepungua, moja ya sababu yaweza kuwa ni sifa mbaya ya serikali yake kuhusu uminywaji wa demokrasia.
Habari za kukamatwa kwa Tundu Lisu na zile za kutokushiri chaguzi, tayari zimeshaanza kuangaziwa na vyombo vya habari vya kimataifa.
View: https://youtu.be/XhtQ6ncUCEo?si=S8Px6mlI4KaKqsJe
Jamba baba jamba ikiwezekana harisha kabisaNo reforms, no election!
Arguments zingine hazina kichwa wala miguu! What makes international news international?Media za dunia zinajulikana, BBC, CNN, ABC, VOA, DW, FRANCE24, REUTERS, AFP, ALJAZEERA NA sa hivi kwa mbali Media ya uchina.
We umesikia habari za wamalawi unakuja kutuambia ni Media ya kimataifa, uko serious kweli au unatania????
coverage ya habari iwe kwenye vichwa vikubwa vya habari katika media mbalimbali.Arguments zingine hazina kichwa wala miguu! What makes international news international?
Mwaka wa uchaguzi huu watu wanajiandaa na local politics.Labda ni hisia zangu tu ila naona kama vile Rais Samia kapunguza safari za mara kwa mara nje ya nchi.
Kama kweli safari zake zimepungua, moja ya sababu yaweza kuwa ni sifa mbaya ya serikali yake kuhusu uminywaji wa demokrasia.
Habari za kukamatwa kwa Tundu Lisu na zile za kutokushiri chaguzi, tayari zimeshaanza kuangaziwa na vyombo vya habari vya kimataifa.
View: https://youtu.be/XhtQ6ncUCEo?si=S8Px6mlI4KaKqsJe
Achana na uyo tracko..ni mnufaika wa utawala dhalimuDunia kijiji bro punguza mihemuko chama kina wenyewe
Unataka kumaanisha nini elezea kwanza istilahi za maneno yako kwenye hili.Ukisema wanawake hawapati mimba kwa kujamiiana na wanaume haimaanishi ni kweli!
Tusi la kike kike hivi.Watukome mpfyuuuuuu zao!
Hata RT na Sputnik hawajasema, Mr Nyani anakuja kutuzingua hapa na vyombo vya habari vya mitaani!Media za dunia zinajulikana, BBC, CNN, ABC, VOA, DW, FRANCE24, REUTERS, AFP, ALJAZEERA NA sa hivi kwa mbali Media ya uchina.
We umesikia habari za wamalawi unakuja kutuambia ni Media ya kimataifa, uko serious kweli au unatania????
Well Documented!Labda ni hisia zangu tu ila naona kama vile Rais Samia kapunguza safari za mara kwa mara nje ya nchi.
Kama kweli safari zake zimepungua, moja ya sababu yaweza kuwa ni sifa mbaya ya serikali yake kuhusu uminywaji wa demokrasia.
Habari za kukamatwa kwa Tundu Lisu na zile za kutokushiri chaguzi, tayari zimeshaanza kuangaziwa na vyombo vya habari vya kimataifa.
View: https://youtu.be/XhtQ6ncUCEo?si=S8Px6mlI4KaKqsJe
Huyu Bibi alianza vizuri sana, Ila ataishia The HagueLabda ni hisia zangu tu ila naona kama vile Rais Samia kapunguza safari za mara kwa mara nje ya nchi.
Kama kweli safari zake zimepungua, moja ya sababu yaweza kuwa ni sifa mbaya ya serikali yake kuhusu uminywaji wa demokrasia.
Habari za kukamatwa kwa Tundu Lisu na zile za kutokushiri chaguzi, tayari zimeshaanza kuangaziwa na vyombo vya habari vya kimataifa.
View: https://youtu.be/XhtQ6ncUCEo?si=S8Px6mlI4KaKqsJe
Nini maana ya kimataifa kwa ufahamu wako?...Kwani Malawi iko ndani ya Tanzania?Media za dunia zinajulikana, BBC, CNN, ABC, VOA, DW, FRANCE24, REUTERS, AFP, ALJAZEERA NA sa hivi kwa mbali Media ya uchina.
We umesikia habari za wamalawi unakuja kutuambia ni Media ya kimataifa, uko serious kweli au unatania????
Kwa kifupi inaitwa NRNENo reforms, no election!
Vip kuhusu ile kesi ya Ugaidi haikuwa Mahakamani?? Je Mahakama hiyo ilijulisha nini Dunia kuhusu kesi ile??Sioni ajabu kwa kuwa hiyo ndiyo kazi ya vyombo vya habari. Kuijulisha dunia yale yanayoendelea mahali fulani.
Sasa Tundu kuanzisha uasi ili kuzuia uchaguzi siyo habari ya kuishia kwenye Mwananchi na ITV tu. Ngoja dunia ijulishwe. Hakuna cha ajabu. Maana taratibu zote za kisheria na haki za binadamu zimefuatwa katika kumkamata na kumfkisha Mahakamani.
Sasa tuiachie Mahakama ifanye kazi yake na tusiendeshwe na kelele za wanaharakati wanaopeleka huko BBC, CNN, VOA, DW etc
Hii sio media ya mpwapwa?Media za dunia zinajulikana, BBC, CNN, ABC, VOA, DW, FRANCE24, REUTERS, AFP, ALJAZEERA NA sa hivi kwa mbali Media ya uchina.
We umesikia habari za wamalawi unakuja kutuambia ni Media ya kimataifa, uko serious kweli au unatania????
Na kila lenye mwanzo lina mwisho 🙌🙏
Hili neno Kimchongo mchongo linapata umaarufu sana itabidi liingizwe kwenye kamusi ya Kiswahili 🤣 !Vi kuhusu ile kesi ya Ugaidi hakuwa Mahakamani?? Je Mahakama hiyo ilijulisha nini Dunia kuhusu kesi ile??
Kesi zote za mchongo toka kwa Viongozi uchwara wa CCM zitamalizwa Mahakamani kimchongo.
Mnazinajis Mahakama zetu kwa uroho wenu wa madaraka. Halafu unakuja kubwabwaja humu. Upuuzi mtupu.
Mmmmh !Kwa kifupi inaitwa NRNE
Nanyi mnanajisi jamii yetu kwa kutaka kutuletea mambo ya LGBT kutoka UbelgijiVi kuhusu ile kesi ya Ugaidi hakuwa Mahakamani?? Je Mahakama hiyo ilijulisha nini Dunia kuhusu kesi ile??
Kesi zote za mchongo toka kwa Viongozi uchwara wa CCM zitamalizwa Mahakamani kimchongo.
Mnazinajis Mahakama zetu kwa uroho wenu wa madaraka. Halafu unakuja kubwabwaja humu. Upuuzi mtupu.