Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Wakifanya vizuri tutawapongezaSera za Mama katika kuifungua Nchi naona ajira zinaenda kuongezeka.
Haswa na wakibiroronga spana tu hadi Masabuni ahamaki.Wakifanya vizuri tutawapongeza
Mama Samia ananikosha sana hasa kwenye haya mambo ya uchumi na kukuza utaliiSera za Mama katika kuifungua Nchi hizo naona ajira zitaenda kuongezeka.
Tanzania hakuna ukabila, udini wala ukanda! Ukiona mtu anaendekeza huo upuuzi jua huyo sio Mtanzania halisi ni pandikiziHii ndio sawa,akija mukezaji muarabu,msipige kelele.Kila aliyechangia uzi,ameunga mkono.Ingekuwa muarab(bora awe na jina la kiislamu),kelele zingekuwa nyingi.
Tunaunga mkono,uwekezaji huu,bila kungalia dini,utaifa,rangi,asili nk ya muekezaji.
Kweli Mkuu bagamoyo! Hii nchi tumecheleweshwa sana na watu waliokosa exposureWawekezaji mnakaribishwa, tulisheleweshwa sana ktk miaka sita iliyopita kwa sera ambazo zinasema masikini ambaye hajawahi kula mnofu wa nyama akipata nyama itamuozea mkononi kwa kuishangaa na kutoamini anayo.
Tanzania tuna fukwe za mchanga mweupe ulio safi bila uchafuzi wa mazingira, bahari na maziwa yenye maji ya buluu, mbuga za wanyama, viwanja vya ndege vya kimataifa AAK Zanzibar, JNIA Dar es Salaam, KIA Kilimanjaro, Songwe Mbeya, watu wakarimu, pia kunafikika kwa kutumia masaa machache ni nini tunataka tupewe zaidi ?
Trust me huyu Mama akipata washauri wazuri uchumi wetu utarudi sema amezungukwa na Vultures.Mama Samia ananikosha sana hasa kwenye haya mambo ya uchumi na kukuza utalii
Naunga mkono hojaTrust me huyu Mama akipata washauri wazuri uchumi wetu utarudi sema amezungukwa na Vultures.
Uongozi sio makelele na kupiga marisasi uongozi ni kipaji mimi kila siki nasemaga Ajira Ajira Ajira.
... nchi inaenda kuvuna baraka na zaidi ya baraka!Hii ndio sawa,akija mukezaji muarabu,msipige kelele.Kila aliyechangia uzi,ameunga mkono.Ingekuwa muarab(bora awe na jina la kiislamu),kelele zingekuwa nyingi.
Tunaunga mkono,uwekezaji huu,bila kungalia dini,utaifa,rangi,asili nk ya muekezaji.
Naunga mkono hoja
Ajira zikiongezeka na Purchasing power inaongezeka na kodi zitalipika kelele zitaisha vitumbua viraongezeka mezani hali kadhalika na ugali.Naunga mkono hoja
Shekh, kwani hakuna waisrael waarabu!Hii ndio sawa,akija mukezaji muarabu,msipige kelele.Kila aliyechangia uzi,ameunga mkono.Ingekuwa muarab(bora awe na jina la kiislamu),kelele zingekuwa nyingi.
Tunaunga mkono,uwekezaji huu,bila kungalia dini,utaifa,rangi,asili nk ya muekezaji.
Muwekezaji ni Muwekezaji hata awe Shoga sisi tuangalie Ajira na Serikali ipate fungu lake.Hii ndio sawa,akija mukezaji muarabu,msipige kelele.Kila aliyechangia uzi,ameunga mkono.Ingekuwa muarab(bora awe na jina la kiislamu),kelele zingekuwa nyingi.
Tunaunga mkono,uwekezaji huu,bila kungalia dini,utaifa,rangi,asili nk ya muekezaji.