Chato International Airport umeisahau.Wawekezaji mnakaribishwa, tulisheleweshwa sana ktk miaka sita iliyopita kwa sera ambazo zinasema masikini ambaye hajawahi kula mnofu wa nyama akipata nyama itamuozea mkononi kwa kuishangaa na kutoamini anayo.
Tanzania tuna fukwe za mchanga mweupe ulio safi bila uchafuzi wa mazingira, bahari na maziwa yenye maji ya buluu, mbuga za wanyama, viwanja vya ndege vya kimataifa AAK Zanzibar, JNIA Dar es Salaam, KIA Kilimanjaro, Songwe Mbeya, watu wakarimu, pia kunafikika kwa kutumia masaa machache ni nini tunataka tupewe zaidi ?
Karibuni Wawekezaji wa kila aina njooni na Mitaji sekta ya Utalii inapwaya kidogo.Karibuni waisrael
Z
Nzuri sanaHaya ndo matokeo ya kufanya kazi kwa akili na sio maguvu!
Jarida maarufu nchini Israel la The Times of Israel limeripoti kuhusu Waisrael kuja kufanya uwekezaji mkubwa Zanzivar ikiwemo kujenga Hoteli kubwa za kisasa katika kukuza soko la utalii
Jarida hili halijaishia hapo bali limekwenda mbali na kuelezea kwa namna gani Tanzania kwa ujumla ina vivutio vizuri kuzidi hadi South Africa ila havijapewa kibaumbele. Limetaja mlima K8limanjaro na mbuga ya Serengeti.
Hii ndo Tanzania tunayoitaka. Hongera Rais Samia kwa maono yako katika kukuza Utalii. Kweli tunaanza kuona Matokeo
View attachment 2342822
View attachment 2342840
Lord Denning
Tel Aviv, Israel
Mama Yuko vizuri Sana. Hata Mbowe ametuasa tumuunge mkono. Sasa Mwamba akituasa wewe ni nani ukatae?Sera za Mama katika kuifungua Nchi hizo naona ajira zitaenda kuongezeka.
Kweli mkuu... nchi inaenda kuvuna baraka na zaidi ya baraka!
Ndio nini 🤫Masabuni
Natumaini IQ yako ni kubwa.Ndio nini 🤫
Kina Mr Tozo From Singa-poo!!sema amezungukwa na Vultures.
Fungua code 🤭Natumaini IQ yako ni kubwa.
Kwenye "B" weka "U" halafu punguza kula Ugali kula Pasta na Maziwa kwa fujo 😁 just jocking.Fungua code 🤭
Wao ndio waasisi wa Sodoma na Gomora sasa unashangaa nini?nasikia wana ushoga mwingi hao wayahudi
Wakenya mkuu nao hawapo mbali,na wamejazana huko fukwe za zenji balaaSera za Mama katika kuifungua Nchi hizo, naona ajira zitaenda kuongezeka.
Wakenya wanatuzidi kwenye Customer service sisi hatuko serious unamkuta Mhudumu wa Kitanzania anachati kwenye simu yake unakaa anakuangalia kama vile amelazimishwa kufanya kazi.Wakenya mkuu nao hawapo mbali,na wamejazana huko fukwe za zenji balaa
Ndugu yangu acha kukashifu Dini za Watanzania wenzako.NJAA MBAYA SANA LEO WAVAA KOBAZI WA ZANZIBAR WANAWAKUBALI WAYAHUDI??!!
Huna akili we mtuNJAA MBAYA SANA LEO WAVAA KOBAZI WA ZANZIBAR WANAWAKUBALI WAYAHUDI??!!