Tanzania, the first Country in the World to win over Coronavirus

Ukimaliza kuongelea mabeberu rudi Afrika na utambue ya kwamba ktk dunia hii tunayoishi ni nchi moja tu mpk ss ambayo ime declare covid-19 free nayo ni Tz, lia utakavyo tukana uwezavyo ila ukweli ndio huo [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Duh Mzee hizi pumba unazotema humu km umejiunga Jf jana.
 
Ninarudia tena kwa msisitizo, magonjwa kama Surua, Ebola, Yellow fever na mengine ambayo hayana dawa, huwa kinachotibiwa ni "Symptoms".

Kama mgonjwa anaonyesha dalili za homa basi atapewa dawa ya kushusha home, kama anakikohozi atapewa dawa ya kuzuia kikohozi, kama atashindwa kupumua atawekewa mitambo ya kumsaidia kupumua, huitaji kujua kama ana Virusi vya Corona au vya Ebola ili kushusha homa au kumsaidia kupumua kwasababu tiba ya kumsaidia kupumua haijalishi ugonjwa gani unaosababisha kushindwa kupumua.

Ninyi wakenya hamna akili ndio sababu nchi yenu mnashindwa kukabiliana na matatizo madogo kama insecurity and Corruption
 
Haha ..so what did the whites tell us to do and when was that?
C&P of what they r doing to combat COVID-19 i.e lockdown, testing. You people these things can't work in Africa even whites have failed. If COVID-19 was deadly then I can assure u no any Tanzanian could be alive.
 
Sisi tunachapa kazi upumbavu wenu wakufungiana pelekeni mbele huko mabwana zenu watakuja tu kuwaombea chakula kama walivyofanya cku za nyuma oohhh tuuzieni japo tani million 2 za mahindi na unga, tukijifungia utakunya wewe?
 
Sasa unapata wapi ujasiri wa kumwita mtu mpumbavu wakati ana hali nzur Zaid yako? Maana kinachotakiwa kuwa na hali nzur tu bc wala sio njia gani umetumia au ujasoma mathematics ? Kwenye mathematics swali moja ila wewe unaweza ukafanya njia yako uliofundishwa na mwalimu darasani na Mimi nikafanya Kwa njia tofauti tena ya shortcut haipotezi mda na majibu yakawa sawa sasa usitake kulazimisha kupima kila mtu kama nyinyi huko na wakati unajua huna uwezo wa kupima wakenya wote kuna haja gani yakupima kila mtu hapa ndipo tunapowaona kuna upungufu kichwani. Tz sio kama hatupimi kama unavyomaanisha wewe hapana ,tunapima pale utakapojisikia vibaya una dalili nyingi Kati ya zile zilizotangazwa ndio unaenda kwenye vituo kupima lakini sio kama huko kazi zingine hamna nyie kila kukicha munaipigia promo Corona tu , nahisi sio bure itakua mumelaaniwa
 

Why would a sane person walk into a shithole LDC. A country without a working oxygen tank in a time of a pandemic?
 
Nmekupa japo ushauri tu kama kweli mnajitambua chukueni ardhi iliyohodhiwa na ruling class ya Kenyata ili wanachi masikini mpate japo maeneo ya kulima sukuma wiki tu,,

Hii ushamba tuliwachia Tanzania.
Land subdivision inaleta umaskini tu.
Tunataka wakulima walime kwa mashamba makubwa, sio acre moja ama mbili. That's the only way we can achieve mechanization.

0.1% of the population can feed the rest of the country.
 
TV zenu hazina uhuru.
Zimeshikwa makende na Makufuli.
Watu hawana njaa na wana chakula cha kula halafu unataka media zitangaze kuwa raia hawana chakula!

Tatizo lenu mkiwa na njaa mnaona ni kama kila nchi ina njaa au ni lazima iwe na njaa na hapo ndipo mnapokosea,

Wewe ni zero kama hizo zero kwa ID yako.
 
Why would a sane person walk into a shithole LDC. A country without a working oxygen tank in a time of a pandemic?
Hahahaha, Failed state Mentality never change, those who put Kenya in the list of Failed states group was very much correct. Tanzania is a real middle income country, not like Kenya full of slums, hunger which depends on food donations.
 
Hii ushamba tuliwachia Tanzania.
Land subdivision inaleta umaskini tu.
Tunataka wakulima walime kwa mashamba makubwa, sio acre moja ama mbili. That's the only way we can achieve mechanization.

0.1% of the population can feed the rest of the country.
Sasa inakuaje Kenya ni nchi pekee Africa ambapo watu wanakufa kwa njaa mnategemea Chakula cha msaada toka China no UAE?
 
You are waiting until a vaccine and treatment are available from where?

Don't worry. Our Kemri is on top of things. Oxford is working hard too.

Bora ujue hatukunywi hio Konyagi yenu ama ya Madagascar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…