Tanzania, the first Country in the World to win over Coronavirus

MY TAKE: Jambo la kushangaza ni kwamba hakuna hata nchi moja ya Africa yenye kutaka kuja kujifunza badala yake zinaendelea kuiga nchi ambazo maambukizi na vifo vinaongezeka kila siku. Nani ameondoka na akili za Waafrika?

What? Kwamba badala ya kujifunza walikofanikiwa wanajifunza kuliko shamiri vifo na kwa sababu hiyo tuko vizuri sana.

Kwamba sote tumefikia hatua hii? Si kweli.

Hapa panatakiwa wa kumfunga paka kengele tu. With Mkapa (rip) gone nani mwenye uthubutu wa kuyafanya hayo?

Mzee wa Msoga mikoba yote kwako sasa.
 
Imefanya nini kuhusu corona mpaka ikatokomea? This is a layman's post/thread
Kama ambavyo tulifanya tukaushinda na kutokomeza ukabila. Unaweza kujua nini tulifanya tukatokomeza ukabila?
 
Why would a sane person walk into a shithole LDC. A country without a working oxygen tank in a time of a pandemic?
0 brain like you can tell nobody about anything because you cant even think clear nincompoop ...i think your not recover from mentle illness[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Gosh! Tanzanians are the dumbest people you'll ever meet
Those you call dumbest are surviving corona and leading normal life and you the cleverest of them all yet you are under house arrest! Who is the stupidest of them all here😅😂🤣😂!
 
MY TAKE: Jambo la kushangaza ni kwamba hakuna hata nchi moja ya Africa yenye kutaka kuja kujifunza badala yake zinaendelea kuiga nchi ambazo maambukizi na vifo vinaongezeka kila siku. Nani ameondoka na akili za Waafrika?
Na hata Madagascar walijidai zaidi ya hivyo, hadi raisi wao akasema alipewa Pesa ili kwenye dawa yao atie sumu
 
TV zenu hazina uhuru.
Zimeshikwa makende na Makufuli.
Huna ch kutuambia pimbi kama wewe unajua nini kusu uhuru....wakati kila siku unapigana usife....ma**vi kunuk kama ww huna nafasi ya kuongelea chochote kusu Tz... unakaa kibera alafu unaijadili hii nchi fala ww[emoji116]nenda kamuluze uyo waziri wenu yeye anaona nn Tz...nchi ya mamilionaire kapuku km ww hupaswi kuijadili[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57] nendeni mkaombe misada ya corona mana mko na paper GDP.....

Kwa akili yako ya flytoilet njoo na maneno matupu ....pimbi wa kikunya[emoji16][emoji16]
 
Tuacheni ushabiki wa kijinga Kenya kuna sehem mbaya kiwango ambacho uwezi kuona popote hapa E.A
 
MY TAKE: Jambo la kushangaza ni kwamba hakuna hata nchi moja ya Africa yenye kutaka kuja kujifunza badala yake zinaendelea kuiga nchi ambazo maambukizi na vifo vinaongezeka kila siku. Nani ameondoka na akili za Waafrika?
Akili za jioni hizi.. [emoji3525][emoji3525][emoji3525]
 
Huwa nikiingia Kenya ninakosa amani hadi nikivuka mpaka kurudi Tanzania, Kanya huwezi jua Kati ya Polisi na jambazi, wote ni wauaji.

Hawa wazungu kama wanakuja kufanya kazi Kenya juu wana usalama wa KDF, mbona Tanzania salama, ambako hawahitaji jeshi hawaji?
 
Mjinga wewe.
Mtu mmoja anakutana na watu zaidi ya mia moja kwa siku. Hao mia moja wanakutana na mia moja wengine.
Utaweka wote quarantine?

Isolation ni ya waliotokea positive.
Lazima test ifanywe ili walio negative waendelee na maisha yako.

Hio ni basics ya kutumia ubongo. Lakini hamna.
 
Hawa wazungu kama wanakuja kufanya kazi Kenya juu wana usalama wa KDF, mbona Tanzania salama, ambako hawahitaji jeshi hawaji?
Kanya ni "Colony" lao, bado wanamiliki ardhi, nyumba, mifugo na watumwa kama ilivyokua kabla ya Uhuru, huku tuliwafukuza na kutaifisha mali zao zote.
 
Kanya ni "Colony" lao, bado wanamiliki ardhi, nyumba, mifugo na watumwa kama ilivyokua kabla ya Uhuru, huku tuliwafukuza na kutaifisha mali zao zote.

Wanaokuja ni Wamerikani. Mlifukuza wamerikani mwaka gani?

Dunia nzima inachokijua ni kwamba:
1. Tanzania masomo bure.
2. Hamna skills. 99% unskilled labor.
3. Hamjui kuongea kingereza.
4. Unfavorable business environment (Dikteta aweza tuma jeshi dukani kwako wakati wowote)
5. Poor health facilities
6. Poor air transport interconnectivity
7. Poor purchasing power.

Na ndio maana FDI zenu tu ni za mining. Waje wachimbe dhahabu na gesi, wapeleke kwao wakauze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…