MY TAKE: Jambo la kushangaza ni kwamba hakuna hata nchi moja ya Africa yenye kutaka kuja kujifunza badala yake zinaendelea kuiga nchi ambazo maambukizi na vifo vinaongezeka kila siku. Nani ameondoka na akili za Waafrika?
What? Kwamba badala ya kujifunza walikofanikiwa wanajifunza kuliko shamiri vifo na kwa sababu hiyo tuko vizuri sana.
Kwamba sote tumefikia hatua hii? Si kweli.
Hapa panatakiwa wa kumfunga paka kengele tu. With Mkapa (rip) gone nani mwenye uthubutu wa kuyafanya hayo?
Mzee wa Msoga mikoba yote kwako sasa.