Tanzania, the first Country in the World to win over Coronavirus

Tanzania, the first Country in the World to win over Coronavirus

Tanzania inaongoza kwa FDI ukanda huu

Lol. Mashine mbili za kumine dhahabu zikiletwa, unaita hio FDI?
Lol.
Mining equipment can cost upwards of $1 billlion. Lakini operator ni wawili tu.

Kenya's FDI is real FDI creating real companies, employing thousands of people.
 
Hahahaha, Failed state Mentality never change, those who put Kenya in the list of Failed states group was very much correct. Tanzania is a real middle income country, not like Kenya full of slums, hunger which depends on food donations.

Ranking za Wazungu unazipenda wakati wa failed states, lakini unazichukia ikifika wakati wa GDP. Mbona?

Alafu, kwa hio ranking ya failed states, Tanzania haiko mbali pia.

failed.jpg
 
Only four, that means you don't test any body except those which present with symptoms, that is exactly what is happening in Tanzania for Corona.

Sasa kila mtu akipata homa, ama avunjike mguu atestiwe Ebola. Mbona ujinga mwingi hivyo?
Kwani Ebola symptoms zake hazijulikani?
 
Watu hawana njaa na wana chakula cha kula halafu unataka media zitangaze kuwa raia hawana chakula!

Tatizo lenu mkiwa na njaa mnaona ni kama kila nchi ina njaa au ni lazima iwe na njaa na hapo ndipo mnapokosea,

Wewe ni zero kama hizo zero kwa ID yako.

Media yenu haitangazi lolote la kukashifu serikali ya awamu ya tano ya Dokta John Pombe Magufuli.
Unadhani sisi ni vipofu?
 
MY TAKE: Jambo la kushangaza ni kwamba hakuna hata nchi moja ya Africa yenye kutaka kuja kujifunza badala yake zinaendelea kuiga nchi ambazo maambukizi na vifo vinaongezeka kila siku. Nani ameondoka na akili za Waafrika?

Imefanya nini kuhusu corona mpaka ikatokomea? This is a layman's post/thread
 
We took our time and energy to build our Nation so that we can live and enjoy peace, unity and tranquility, you chose tribalism, hatred among yourselves, disunity, ruthless Economy, poverty, slums and land injustice. Kenya is the most dangerous country in EA.

Inaonekana omba omba wenu waliojaa Kenya hawakupata hii memo.
Kenya, 'the most dangerous country in EA', ndio inavutia wageni wa nje zaidi. What a paradox.

Wazungu wanataka kuja kufungua startup zao Kenya, sio Tanzania ambayo imejaa peace, unity and tranquility.
Bangi unayovuta naitaka pia.
 
Media yenu haitangazi lolote la kukashifu serikali ya awamu ya tano ya Dokta John Pombe Magufuli.
Unadhani sisi ni vipofu?
Unafahamu maana ya neno "kukashifu" au umeandika tu ili mradi,

Yaani nchi haijakumbwa na njaa halafu unataka media ziseme nchi ina njaa hiyo itakuwa akili au matope.
 
Haiitaji research.watu wanavyojiachia kila sehem na vifo hatuvisikii kama wakubwa walivyotuaminisha.sasa HV wanafunzi wangelikuwa wamekufa maelfu kama ndio hvyo.Mungu yupo upande wetu
Ukisema corona ipo utaonekana ni msaliti tena si mzalendo na above all ni adui.
Tanzania tumeamua kuishi na corona, tumeamua tuufanye ugonjwa wa kawaida kama magonjwa mengine( na kweli corona ni ugonjwa wa kawaida kama magonjwa mengine hasa kwetu wabongo)

Corona ni hatari inapokukuta na magonjwa mengine makubwa kama magonjwa ya moyo, pumu nk.

Tuendelee kupiga kazi , malaria bado inaua kuliko korona.
 
Unafahamu maana ya neno "kukashifu" au umeandika tu ili mradi,

Yaani nchi haijakumbwa na njaa halafu unataka media ziseme nchi ina njaa hiyo itakuwa akili au matope.

Usijali. Uhondo tunapata kutoka FAO na WHO, na World Bank na wengineo.
Tanzania shida si shida.

The most malnourished country in East Africa after Ethiopia.

tz1.JPG
 
MY TAKE: Jambo la kushangaza ni kwamba hakuna hata nchi moja ya Africa yenye kutaka kuja kujifunza badala yake zinaendelea kuiga nchi ambazo maambukizi na vifo vinaongezeka kila siku. Nani ameondoka na akili za Waafrika?

Mkapa kakabwa koo na depotivo la Corona.
 
Sasa kila mtu akipata homa, ama avunjike mguu atestiwe Ebola. Mbona ujinga mwingi hivyo?
Kwani Ebola symptoms zake hazijulikani?
Mbona huko kwenu mnapima asymptomatic people with Corona infections, Jana CSA wenu amesema 89% ya positive cases ni asymptomatic, kwanini msipime hata kwenye Ebola bila kusubiri dalili za Ebola badala yake mnapima kwenye Corona,?. Ninyi mumechanganyikiwa hamjielewi nini mnataka.
 
Usijali. Uhondo tunapata kutoka FAO na WHO, na World Bank na wengineo.
Tanzania shida si shida.

The most malnourished country in East Africa after Ethiopia.

View attachment 1515455
Nikadhani labda umeleta data kuwa Tanzania inakumbwa na njaa na inahitaji misaada ya chakula kumbe ni hiyo [emoji23][emoji23][emoji23]

Endelea kwenda chooni kwa hisani kubwa ya Watanzania, waarabu, warusi, wazungu na wachina.
 
Mbona huko kwenu mnapima asymptomatic people with Corona infections, Jana CSA wenu amesema 89% ya positive cases ni asymptomatic, kwanini msipime hata kwenye Ebola bila kusubiri dalili za Ebola badala yake mnapima kwenye Corona,?. Ninyi mumechanganyikiwa hamjielewi nini mnataka.

Hawa wamejitolea kupimwa. Hakuna anayelazimishwa. Unless umekuja into contact na mwingine aliyetokea positive.
Wengine wanatafuta certificate ili waweze kutembea nje ya nchi.
 
Inaonekana omba omba wenu waliojaa Kenya hawakupata hii memo.
Kenya, 'the most dangerous country in EA', ndio inavutia wageni wa nje zaidi. What a paradox.

Wazungu wanataka kuja kufungua startup zao Kenya, sio Tanzania ambayo imejaa peace, unity and tranquility.
Bangi unayovuta naitaka pia.
Wazungu wanakuja Kanya kwasababu wanaishi katika maeneo salama yenye kulindwa na Polisi na KDF 24/7. Wazungu wanaishi vizuri Kanya kuliko wanavyoishi kwao Ulaya, Kenya bado ni Colony la wazungu na wakenya ni slaves wa wazungu.
 
Utachoka tu. Lakini ni wazi Kenya hujawahi kanyanga.
 
Hawa wamejitolea kupimwa. Hakuna anayelazimishwa. Unless umekuja into contact na mwingine aliyetokea positive.
Wengine wanatafuta certificate ili waweze kutembea nje ya nchi.
Tatizo lenu hamjui nini mnafanya, ninyi ni watu wapuuzi Sana, sasa kama mtu amekutana na kuishi na mtu mwenye Corona, au yuko na Wasiwasi wa kuambukizwa, kwanini msimuweke Katina "self Isolation for 14days" kusubiri Kama atapata dalili za Corona?, kwanini mnapoteza pesa nyingi ya serikali kwa watu ambao hawana ugonjwa?
 
Back
Top Bottom