Tanzania: The Sleeping Giant

Tanzania: The Sleeping Giant

Impressive content but you still need to polish your English language proficiency grammar and vocabulary! It’s like a high school debating language level [emoji4]
Same here 🤣the moment i read his thread ,I remembered those days in secondary school, during debate sessions 🤣🤣
 
Same here 🤣the moment i read his thread ,I remembered those days in secondary school, during debate sessions 🤣🤣
Eenh Bwana eenh, tusichoshane.
Lengo kubwa la lugha yoyote ni mawasiliano..
Tujadili ambacho kimekusudiwa na mwandishi.
Tusimjadili mwandishi na weledi wake wa lugha.
After all English is my fourth language
 
Basi kazaneni kulalamika na kulaumu Serikali
Hatulaumu serikali, tunalaumu viongozi wabinafsi na wezi waliotufikisha hapa tulipo..
Hadi mwaka 1987, Tanzania was the leading country economically in East and central Africa.. But unfortunately, from that year up to now,Tanzania is struggling economically..
Na ikumbukwe huo mwaka tulikuwa bado hatujaanza kuchimba asilimia kubwa ya madini yetu kama tunavyofanya sasa!
Yaani, tulikuwa vizuri zaidi kabla hatujaanza kuchimba madini!!
Inasikitisha sana kwa kweli..
Sijui nani aliyeturoga Watanzania jamani!
 
Impressive content but you still need to polish your English language proficiency grammar and vocabulary! It’s like a high school debating language level [emoji4]
bahati mbaya sana mpo level moja,simplicity is what matter,ni sawa na kuongea kichina na mmasai mwisho wa siku anakuona chizi...
 
Hatulaumu serikali, tunalaumu viongozi wabinafsi na wezi waliotufikisha hapa tulipo..
Hadi mwaka 1987, Tanzania was the leading country economically in East and central Africa.. But unfortunately, from that year up to now,Tanzania is struggling economically..
Na ikumbukwe huo mwaka tulikuwa bado hatujaanza kuchimba asilimia kubwa ya madini yetu kama tunavyofanya sasa!
Yaani, tulikuwa vizuri zaidi kabla hatujaanza kuchimba madini!!
Inasikitisha sana kwa kweli..
Sijui nani aliyeturoga Watanzania jamani!
Wa kulaumiwa wa kwanza ni Baba yenu wa Taifa na sera yake ya ujamaa iliyodumaza Bongo za watu na kuomba pambio za propaganda.
 
Wa kulaumiwa wa kwanza ni Baba yenu wa Taifa na sera yake ya ujamaa iliyodumaza Bongo za watu na kuomba pambio za propaganda.
Sidhani kama shida ilikuwa ni Ujamaa.
Mbona China, Russia, Cuba n.k zilikuwa na sera za kijamaa na bado ni nchi zilizoendelea kulinganisha na sisi?
Kingine; mbona wakati tuko na sera za Ujamaa, tulikuwa na maendeleo zaidi kuliko tulipoamua kuachana na sera za Kijamaa?
Kimsingi hata baada ya vita ya Kagera, tulikuwa vzr kiuchumi kulinganisha na sasa hivi!
 
Hao ni watu weupe sio Waafrika ni wepesi wa kubadilika.
 
Hao ni watu weupe sio Waafrika ni wepesi wa kubadilika.
Kumbe shida ni rangi yetu!!
Duh!
Mbona wenzetu Nigeria, wanajitahidi kuyatumia mafuta yao vzr kwa usitawi wa nchi yao?
Angalia pia Angola na majirani zetu Kenya.
Mbona hata wao ni weusi, lakini wana maendeleo kutuliko sisi?
 
Nafikiri ni suala la muda tu hata majirani zetu Rwanda na Uganda watakuja kuwa na uchumi mkubwa sana kulinganisha na uchumi wetu.
Hadi sasa thamani ya Shilingi yeti ni ya pili toka mwisho kwa nchi za Afrika Mashariki na kati na kusini mwa Afrika!
 
I salute you all my beloved Jamiiforum members.

After that salutation, I would like to go directly to the topic as elaborated above.

Tanzania is amongst the most blessed countries in the world. Our country is blessed from a number of human resources (which is the most valuable resource ever especially if managed well), arable land (more than 45% of our land is arable), minerals (we have almost all kind of minerals including Tanzanite which up to now is only available in our country), good geographical location ( we have borders with more than 8 countries of which, many depend on our Ports to either import or export their goods since they are land locked countries), water resources (our country is crossed with rivers like river Kilombero, river Kagera, river ruaha to mention few. We also have great lakes in the region like lake Victoria of which we own 51%, lake Tanganyika almost 50%, lake Nyasa, lake Rukwa etc. Leave alone Indian ocean which is also very important in transportation and fishing activities).

Tanzania is also blessed with peace compared to other countries in the World. This is very important to both internal and external investors. This is because, no investor (be internal or external), can jeopardize his/her capital by investing where there is no peace!

But unfortunately, apart from those blessings we have, Tanzania my lovely country is counted amongst the poorest countries in the World. Our people are amongst the saddest people in the World due to their great povert surrounding them. Only very few Tanzanians manage to get all basic needs like good shelters, good and contemporary clothes, three meals per day, health facilities, communication etc..
That is so sad!

Our main problems have been triggered by some of our leaders who are not Patriotic to our country.
These leaders to my opinions need to be accused and if possible executed and their wealth which they have acquired through theft and deception should be Natinalized! This should be done to those who have still alive and to those who have died, their families should be stripped off the wealth which they inherited to those un-patriotic leaders.

We have to be serious for our country to develope.
No need of loughing to each other while things are falling apart..
Hello Tanzanians, let us wake up and start striving for our own development..
We are late for more than 50 years.

So we should work hard, day and night.
We should go running when others are walking.
We should fly when others are running.
Tanzania is a great country, and it should be regarded so by our people and our leaders.
I'm done.

I'm there sitting to be corrected.
Sasa kiingereza hicho unamuandikia nani?
 
Kama sijaielewa vizuri point yako Mkuu!
Naomba ufafanuzi kama hutojali.
Serikali haziendishwi na viongozi wala wananchi bali wafanyabiashara wenye viwanda au teknolojia na kwa afrika tunahitaji hilo kundi na liwe la waafrika weusi siyo wahindi au waarabu wakuja ambayo hawawezi hata kuonesha Kijiji chao kilipo hapa Africa.
 
Mkuu umenena, issue sio natural resources ulizonqzo issue ni usimamizi wa hizo natural resources kupitia uongozi na viongozi wa nchi. Sisi kama africa kwa sasa hatuna la kujivunia maana hzo natural resources maybe out of 100% tunafaidika kwa 10% nyngne zinaenda kwa wawekezaji wajanja wa mjini.
Na mbaya zaidi ni kwamba wengi ya wanaonufaika na hizo raslimali zetu ni wageni kwa kushirikiana na viongozi wazawa wenye ubinafsi ambao pia hupata mgawo kiduchu!
 
Back
Top Bottom