Kwa nini wasiliite hilo jengo - Nyerere House? Umoja House tayari inatumika na nchi za Umoja wa Ulaya hapa Tanzania. Pia kuita Umoja ni vigumu mtu kujua kama jengo lina uhusiano wowote na Tanzania kwa sababu Kiswahili kinatumika pia Kenya. Lakini jina Nyerere moja kwa moja hauitaji maelezo inajulikana baba wa Taifa-Tanzania.