Tanzania to build $40m mall in Nairobi

Tanzania to build $40m mall in Nairobi

Kwa nini wasiliite hilo jengo - Nyerere House? Umoja House tayari inatumika na nchi za Umoja wa Ulaya hapa Tanzania. Pia kuita Umoja ni vigumu mtu kujua kama jengo lina uhusiano wowote na Tanzania kwa sababu Kiswahili kinatumika pia Kenya. Lakini jina Nyerere moja kwa moja hauitaji maelezo inajulikana baba wa Taifa-Tanzania.
 
Kumbe wanahela, ngoja na walimu walianzishe. Kuna wakati mawe yatauzwa maana itakuwa silaha muhimu kwa ajili ya misafara yao hapa mjini.
 
Ukiona wapo wanaohamaki unampomtaja JMK, ujuwe hao ni kondoo waliopotea. Hakuna zaidi. Jina tu hawalipendi na Kikwete ndio huyo anavunja kila rekodi ya uongozi Tanzania. Hashikiki, MashaAllah, Mwenyezi Mungu amzidishie.
Na kweli Kikwete amevunja kila rekodi ya uongozi Tanzania. Huwezi kumfananisha Kikwete na Mkapa ambaye ameondoka mamlakani akituachia bei ya sukari ikiwa shilingi mia sita kwa kilo. Mkata mbuga, miaka sita baadaye, anatutoza shilingi elfu mbili na ushee kwa kilo. Kwa mtaji huu Kikwete hana mfano wake Tanzania.
 
Ulisoma christian seminary ipi vipi?
 
i think its a good long term investment coz once the building is done, the revenue it will generate will be sent back to TZ's economy plus it will increase the bond between kenya nd tz as both will have properties in each other soil
 
Lilikuwa lako wewe, lakini bila yeye kukubali, Maaaweee! Yeye ndio Rais. Na mtaumia sana, kwani kila afanyacho ni record, amma anafanya zaidi ya Rais yeyote aliyekuwepo kabla yake, amma anafanya ambacho hawajawahi kabisa kufanya.

Mtakufa navyo vijiba vya roho, toto la ki-bwagamoyo mtaliona hivi hivi, action tu. Na juisi kwa kashata mtakunywa.

Nyie hata mkisoma ni bure tu, ndio mmetufikisha hapa. You are a liability to us! This is the worst regime this country has ever had. Ndio chanzo za migomo yote, akili kiduchu!
 
Hizo pesa bora watumie kupandisha mishahara ma dokta, walimu n.k
 
Lilikuwa lako wewe, lakini bila yeye kukubali, Maaaweee! Yeye ndio Rais. Na mtaumia sana, kwani kila afanyacho ni record, amma anafanya zaidi ya Rais yeyote aliyekuwepo kabla yake, amma anafanya ambacho hawajawahi kabisa kufanya.

Mtakufa navyo vijiba vya roho, toto la ki-bwagamoyo mtaliona hivi hivi, action tu. Na juisi kwa kashata mtakunywa.
Rweye unajitahidi kweli keep it up!
 
Na kweli Kikwete amevunja kila rekodi ya uongozi Tanzania. Huwezi kumfananisha Kikwete na Mkapa ambaye ameondoka mamlakani akituachia bei ya sukari ikiwa shilingi mia sita kwa kilo. Mkata mbuga, miaka sita baadaye, anatutoza shilingi elfu mbili na ushee kwa kilo. Kwa mtaji huu Kikwete hana mfano wake Tanzania.

Kweli kabisa, hatufai huyu, nawashangaa walio mchaguwa. Hana moja analolifanya kazi kucheka cheka tu bila mpango. Wewe umeshaona lipi zuri kafanya? mimi mpaka sijaliona. Na naona atatufikishia mpaka Shillingi 10,000 kilo ya sukari baada ya muda si mrefu. Na hili jumba hili la Nairobi inawezekana wala hakuliidhinisha yeye, maana sidhani kama ana upeo wa kuona mbali.
 
ni wazo zuli kwa nje lakini undani wake ndio siuelewi.
Isije kuishia kuwa miradi dizaini ya 'Machinga Complex' maana ilivyokuwa inanadiwa awali kuwa ingewaondoa vijana/wamachinga kwenye umaskini na tatizo la ajira lakini mpaka sasa wote tunaona kuwa research iliyofanyika haikuwa sahihi.

Lakini zaidi ni juu ya hizi pesa/akiba za wafanyakazi. Hivi kweli NSSF ianaona pesa zipo tu na wanatumia watakavyo, au huwa wanashauriana kwanza na wenye hizo pesa (wafanyakazi/wachangiaji)!!?? Mimi ni mwanachama na bado sijadai mafao yangu lakini nasikia wanaodai wanalipwa kiasi kilekile walichochangia, hakuna hata ka interest 'ka danganya toto'. Sasa ni kwa nini NSSF wasifikirie kwanza angalau kutoa gawio kwa wachangiaji kabla ya kwenda hata kufanya investment nje ya nchi!?

Hivi ndivyo vitu wabunge wetu walitakiwa kufuatilia... lakini naamini wanachama wa huu mfuko tunaweza kuamua na kupigania hili.. hela zetu zinafujwa sana na hao viongozi wa NSSF na Serikali yake. Hakuna interest yoyote ya maana pale utakapo taka kuchukua hela yako..
 
Kweli kabisa, hatufai huyu, nawashangaa walio mchaguwa. Hana moja analolifanya kazi kucheka cheka tu bila mpango. Wewe umeshaona lipi zuri kafanya? mimi mpaka sijaliona. Na naona atatufikishia mpaka Shillingi 10,000 kilo ya sukari baada ya muda si mrefu. Na hili jumba hili la Nairobi inawezekana wala hakuliidhinisha yeye, maana sidhani kama ana upeo wa kuona mbali.

Ni wewe FF kweli au umeongea kwa lugha ya picha? Za asubuhi mama!
 
I hear they are also building a ten storey building in Moshi and wonder who will occupy the offices given the current economical status quo of Moshi?

Secondly why not focus in diversifying towards other projects such electricity, hotels, roads in Tanzania itself??
 
Msechu is also from Moshi, mambo ya project viability/return on investment mnayajua nyie! Ingawa ujombani kwao, kaamua ku base huko!
 
magu is soon launching this mzigoo...ohoooo hapa kazi tuu...
 
bongo-live, nitamlaani akifanya hili akajenge Dodoma au Mwanza au Arusha! Yatalipa vizuri uchumi wa bomba la mafuta, gesi, utalii na dhahabu utaleta good returns zaidi ya Nairobi
 
.. ah, kumbe ni enzi hizo za membe & jk!
 
Back
Top Bottom