joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Labda nikupe taarifa muhimu, pumbavu ni mama yako aliyekuzaa. Kuhusu uwezo wa kulipia hii miradi, tatizo lako wewe huna akili hata kidogo, na hujui miradi inavyolipwa, mkandarasi huwa anatanguliziwa asilimia ndogo mwanzoni mwa mradi, lets say 25%, yeye anajenga kwa pesa yake, mara nyingi anakopa, akishamaliza kazi na hiyo kazi ikikubalika ndiyo analipwa pesa iliyobaki.Kwa akili yako finyu ni ya mwaka juzi pumbavu mkubwa. Na nchi inayobana matumizi yake matokeo yake deni lake la Taifa hukuwa kwa 15 trillions. Na hivyo ndani ya miezi 10 kuwa na pesa nyingi sana za kuweza kufinance miradi yake yote ya maendeleo huku ikishindwa kuongeza mishahara kwa Wafanyakazi wake na kuwapa mikopo wanafunzi wote wanaostahili kupata mikopo.
Ujuha wako siyo humu nenda nao mtaa wa lumumba humu tutakuchapa za uso kwa kutaka kutuaminisha uongo.
Kwa maana hiyo kama mradi utachukua miaka mitatu, nchi inapata muda wa kutosha wa kukusanya hiyo pesa kwa kutenga kiasi cha pesa kutoka kila bajeti ya mwaka katika hicho kipindi cha miaka mitatu au zaidi, ikizidiwa ndiyo inatafuta mkopo wa riba nafuu, ndivyo Tanzania inavyofanya. Lazima mambo yote yaende kwa wakati mmoja, hatuwezi kuweka nguvu zote katika mishaara, au elimu wakati sehemu zingine zimelala, lazima kidogo kilichopo kigawanye ili shughuli zote ziende kwa pamoja.