Tanzania to open Kiswahili teaching offices in foreign countries

Kwa mambo ya kijinga tu hatujambo, ila nambo ya maana wala hatuko bize nayo. Tufungue tourist info centres. Wenzetu wanatangaza mlima Kilimanjaro upo kwao sisi bize kuwafundisha lugha ili waelewe tunapotukanana bungeni
 
Hakika, katika nchi isiyo na self respect, hakuna kitu kinachofanyika bila kuwa preplanned. Nina hakika tayari wapo watoto wa wakubwa wameandaliwa kuwa walimu wa kiswahili huko. Tutashtukia tu kiswahili kinafundishwa na hata wale wasiostahili il mradi wanajua kusema na kuandika Kiswahili!
 
Nilikuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili kati ya 1981-82 [Kaimu] na 1982-85 Madaraka Kamili kwa kuteuliwa na Mkuu wa Chuo, Wakati Huo Rais Julius K Nyerere. Mojawapo ya kazi yangu ilikuwa kuandaa mambo kama haya. Nimefurahia kuwa matayarisho sasa yanaanza kuzaa matunda. Nitatayarisha makal maalum na kuyaleta katika Jukwaa la Jamii. Kama kuna msomaji anayetaka kuniuliza maswali mahsusu kuhusu jambo hi;li, anakaribishwa. Niwezalo kusema sasa hivi ni kuwa Kenya imeshaipiku Tanganyika katika swala la kukufaidi Kiswahili kama ajira nje! Sisi tumekifaidi zaidi kama kiungo cha makabila kiasi kuwa sasa hata wahaya wanaanza kuzungumza Kiswahili wao kwa wao. Kiswahili sasa hakina tena "shombo". Ninajivuna kuwa nilikuwa mmojawapo wa wale walioisafisha hii shombo kwa kushirikiana na UNESCO na kwa msaada wa Finland. Ukiona vinaelea, vimeundwa!
Canute W TEMU, 0754282101, cwtemu@gmail.com. Mshiriki wa Maendeleo, Mwalimu wa Kiswahili Helsinki, Uingereza York, Ujerumani Hamburg na Bayreuth ;pia Mfasiri na Mkalimani. pia mkulima wa Iliki, Vanila na Tangawizi kijijini Masaera, Kilema Kusini, Moshi Kilimanjaro.
 
Mkurugenzi mstaafu, tangu kuwe na tetesi hizi hadi leo kimya. Kuna nini nyuma ya pazia?
 
mbona kimya kimya mpk leo na wabobevu wa lugha tupo. au ndo yale yale nchi ya wenzetu wameshachangamkia
 
Back
Top Bottom