kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Kuijenga Tanzania mpya kunahitaji watu mahiri na makini bila kujali asili zao. Yanga na Simba zinafanya vizuri Sasa baada ya kusajili wachezaji wenye ujuzi mkubwa bila kujali uraia wao.
Tanzania ina wakimbizi wengi sana tangu zamani, baadhi ya hawa wakimbizi ni walimu, wahasibu, engineer, wachimbaji wazuri wa madini, wafugaji, nk. Taifa linaweza kunufaika na ujuzi wao huu kama litawatumia officially badala ya kuwarundika makambini watu wenye ujuzi muhimu kama kufundisha lugha za kifaransa, kiingereza, nk mashuleni.
Watanzania wengi ni wavivu sana kutokana na mazingira rahisi tuliokozaliwa na kulelewa. Hawa wakimbizi watatoa ushindani kwa wazawa.