Tanzania toeni uraia kwa wakimbizi wenye vipaji na ujuzi

Tanzania toeni uraia kwa wakimbizi wenye vipaji na ujuzi

Kuna ujuzi ambao hapa hatuna, mbona timu zimesajili na wachezaji na makocha wengi wa kigeni? hatuna wachezaji hapa? Nilifundishwa kiingereza na mkimbizi kutoka Zimbabwe wakati huo ikanifanya Sasa najua kiingereza vizuri na kizuri.
Mimi nilifundishwa Physics na BAM na walimu kutoka urusi, wale walikuwa ni jobless baada ya USSR kuvunjika
 
Back
Top Bottom