G gati JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 281 Reaction score 159 Jan 30, 2024 #21 kavulata said: Kuna ujuzi ambao hapa hatuna, mbona timu zimesajili na wachezaji na makocha wengi wa kigeni? hatuna wachezaji hapa? Nilifundishwa kiingereza na mkimbizi kutoka Zimbabwe wakati huo ikanifanya Sasa najua kiingereza vizuri na kizuri. Click to expand... Mimi nilifundishwa Physics na BAM na walimu kutoka urusi, wale walikuwa ni jobless baada ya USSR kuvunjika
kavulata said: Kuna ujuzi ambao hapa hatuna, mbona timu zimesajili na wachezaji na makocha wengi wa kigeni? hatuna wachezaji hapa? Nilifundishwa kiingereza na mkimbizi kutoka Zimbabwe wakati huo ikanifanya Sasa najua kiingereza vizuri na kizuri. Click to expand... Mimi nilifundishwa Physics na BAM na walimu kutoka urusi, wale walikuwa ni jobless baada ya USSR kuvunjika