komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Eti wahindi na wazungu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa bongo ukitoa wahindi na waarabu si nyi wengine ni maskini tu...
Eti jamaa naye anataja wahindi na wazungu wa kenya...wakati hao wahindi na wazungu wa kenya na wao pia wanatamani kuwa km wakenya wengine..manake wamewazidi kw kila kitu...tena kw gapu na idadi juu

Hizo ni statistics tu, lkn reality hakuna tofauti yoyote, mimi huwa Kenya mara kwa mara, hata juzi kati nilikuwa Muranga, sikuona hiyo tofauti unayoisema, matatizo ni yale yale chakula, afya, maji, ajira, ulevi, makazi duni, n.k. hivyo hakuna tofauti yoyote labda ukija kwa ma elite Muzungu, Muhindi wa Kenya wako paradiso lkn kwa Wakenya hakuna tofauti yoyote ile!