ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kubishana sijui kama unataka kujua mahitaji kasome hotuba ya bajeti ya wizara ya afya ndo ujue,200 ni kitu gani kwa nchi ya watu zaidi 57 mln?Magufuli kajenga hospitals and health centres zaidi ya 200 in two years only, sijui ni afya ipi unazungumzia
Huyo anayesema wamejenga 67 hakuna hata moja imekamilika,ushahidi tunao kwanza hakuna sehemu tumeshuhudia uzinduzi wa hospitali mpya ukiacha vi heath centres vya mln 400,pili huku niliko kuna hospitali 3 ziko kwenye hatua mbalimbali za ujenzi na hazijulikani zitakamilika lini hapo ni toka 2015 sasa hizo 67 ziko wapi si bora wangesema tumeanza ujenzi wa hospitali 67 za wilayaBaada ya hospitals nyingi kukamilika zile 67 sasa Magufuli kaongeza nyingine hospitals 27 mpaka 2020 zitakua tayari, Hapo bado zile health centres 208 sijasemea, because all of them are functioning properly now.
Asee we umeelewa tunabishana nn?Iringa iko Malawi?
SEKTA YA RAILWAY TANZANIA RAILWAYS LIMITED (TRC).Hebu nitajie sekta moja Tanzania ambayo imeajiri watanzania wengi na kuifanya unemployment rate ya Tanzania iwe chini kuliko Kenya?.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Albinos are killed in Tz daily.Asee we umeelewa tunabishana nn?
Yeye asema albino wauwawa mm napinga nikamfahamisha kuwa wanaouwawa ni watoto wadogo Njombe kwa iman za superstition.
Ila albino hawauliwi.
Nadhan umenielewa kaka
Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tamisemi, Seleman Jafo amesema Rais John Magufuli ametoa Sh284.5 bilioni kwa ajili ya kuboresha na kujenga vituo vipya vya afya nchini.Huyo anayesema wamejenga 67 hakuna hata moja imekamilika,ushahidi tunao kwanza hakuna sehemu tumeshuhudia uzinduzi wa hospitali mpya ukiacha vi heath centres vya mln 400,pili huku niliko kuna hospitali 3 ziko kwenye hatua mbalimbali za ujenzi na hazijulikani zitakamilika lini hapo ni toka 2015 sasa hizo 67 ziko wapi si bora wangesema tumeanza ujenzi wa hospitali 67 za wilaya
By the way nchi ina wilaya zaidi ya 135 afu kuna hospital 5+67 na kuna mikoa haina hospitali hapo sijataja kata,jeuri ya kujipiga kifua inatoka wapi wakati kuna upungufu wa 70% kwenye huduma za afya? Sielewi kujenga daraja la kuvuka ziwa kwa hali kama hiyo hapo juu,akili kama hizi zinapatikana kwa watu wa ccm tu na yale mazuzu yanashangilia.Nilimsikia rais anasema wagonjwa na wamama wanakufa kusubili pantoni waende hospital sasa kwa nini kusijengwe hospital huko wanakotoka?
Lete ushahidiAlbinos are killed in Tz daily.
Ahaa what about kenya people dying with hunger and alot of citizens are having poor social welbeing ??Tanzania is the poorest in the region, case closed.
HALAFU TAKWIMU YAKO YA UONGO.Tzn kiukweli inanuka umaskini yaani,imagine kwenye nchi ambayo 70% ya raia wake hawana uhakika wa huduma za afya huku 40% kuna malnutrition Rais anatenga bln 700 kujenga daraja kukatisha juu ya ziwa eti watu wawahi hospitali,hizi akili unaweza zipata Tzn tu wakati the same pesa could build reputable hospitals kwenye all districts and Heath centers kwenye all wards across the country then unategemea watu wasiongoze kwenye umaskini?
The correct words are;Ahaa what about kenya people dying with hunger and alot of citizens are having poor social welbeing ??
Acha kung'ata maneno we sema wapi hujaelewa uelekezweWachana na Hii lugha ya Nyang'aus juu hata watoto wa chekechea wamekushinda....tuongee kilumumba Kaka.
Ndio umeanza kujifunza kwa shule za gumbaro? Unajaribu ila mtoto was chekechea atakucheka Sana yani jibaba lizima linaandika upuzi usioeleweka.
The correct words are;
"Dying from hunger" and not "dying with hunger". " a lot" and not "alot" "social wellbeing" and not "social welbeing".
The correct sentence is " What about Kenyan people... and not " What about Kenya people.."
Just continue learning I'll not get tired of correcting you.
Answer my questions buddy.The correct words are;
"Dying from hunger" and not "dying with hunger".
" a lot" and not "alot"
"social wellbeing" and not "social welbeing".
The correct sentence is " What about Kenyan people... and not " What about Kenya people.."
Just continue learning I'll not get tired of correcting you.
Hiyo sio mother tongue yangu.The correct words are;
"Dying from hunger" and not "dying with hunger".
" a lot" and not "alot"
"social wellbeing" and not "social welbeing".
The correct sentence is " What about Kenyan people... and not " What about Kenya people.."
Just continue learning I'll not get tired of correcting you.
It's my wish to correct people like you who can't even punctuate their wordings correctly. By the way you are scaring me, any time I look at your name what comes to my mind first is *machete".Na wewe leo unarekebisha watu kiingereza!!!!!
Oooops shit
For me, swahili is the first,the best,then English follows ..i been using it since my childhood,so i don have any problem with it,anywayI would advice you to continue communicating in Swahili my brother.
For me, swahili is the first,the best,then English follows ..i been using it since my childhood,so i don have any problem with it,anyway
Kama unaweza kubainisha makosa kwenye maandiko yangu unaweza kunionesha kama nilivyofanya yesterday kwenye andiko lako la " learn how write",it is very simple
Show me the mistake,i will teach you for free
I didn't call you my enemy.A person who corrects you is not your enemy. Are we together brother?