Tanzania tops East Africa in poverty.

Tanzania tops East Africa in poverty.

Magufuli kajenga hospitals and health centres zaidi ya 200 in two years only, sijui ni afya ipi unazungumzia
Kubishana sijui kama unataka kujua mahitaji kasome hotuba ya bajeti ya wizara ya afya ndo ujue,200 ni kitu gani kwa nchi ya watu zaidi 57 mln?
Ko kwa ajili yako upungufu uliopo uendelee ili bln 700 zijenge daraja la show off?
 
Baada ya hospitals nyingi kukamilika zile 67 sasa Magufuli kaongeza nyingine hospitals 27 mpaka 2020 zitakua tayari, Hapo bado zile health centres 208 sijasemea, because all of them are functioning properly now.

Huyo anayesema wamejenga 67 hakuna hata moja imekamilika,ushahidi tunao kwanza hakuna sehemu tumeshuhudia uzinduzi wa hospitali mpya ukiacha vi heath centres vya mln 400,pili huku niliko kuna hospitali 3 ziko kwenye hatua mbalimbali za ujenzi na hazijulikani zitakamilika lini hapo ni toka 2015 sasa hizo 67 ziko wapi si bora wangesema tumeanza ujenzi wa hospitali 67 za wilaya
By the way nchi ina wilaya zaidi ya 135 afu kuna hospital 5+67 na kuna mikoa haina hospitali hapo sijataja kata,jeuri ya kujipiga kifua inatoka wapi wakati kuna upungufu wa 70% kwenye huduma za afya? Sielewi kujenga daraja la kuvuka ziwa kwa hali kama hiyo hapo juu,akili kama hizi zinapatikana kwa watu wa ccm tu na yale mazuzu yanashangilia.Nilimsikia rais anasema wagonjwa na wamama wanakufa kusubili pantoni waende hospital sasa kwa nini kusijengwe hospital huko wanakotoka?
 
We are typing
We aint talkin
Do not be jammed fella coz you can not even touch my shoe
So how we talk?actually we can not!because you can tell me nothing
I would advice you to continue communicating in Swahili my brother.
 
Iringa iko Malawi?
Asee we umeelewa tunabishana nn?
Yeye asema albino wauwawa mm napinga nikamfahamisha kuwa wanaouwawa ni watoto wadogo Njombe kwa iman za superstition.
Ila albino hawauliwi.
Nadhan umenielewa kaka
 
Hebu nitajie sekta moja Tanzania ambayo imeajiri watanzania wengi na kuifanya unemployment rate ya Tanzania iwe chini kuliko Kenya?.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
SEKTA YA RAILWAY TANZANIA RAILWAYS LIMITED (TRC).
NA HATA MWAKA HUU WAPO WALIOTOKA RELI COLLEGE TABORA WAKAPATA AJIRA ZA PAPO KWA PAPO 20000.
UKITOA HZO KUNA ZINGINE ZINATANGAZWA NOW.
MZEE WANGU ANAFANYA KAZ HAPO NA NINAFAHAM DETAILS NYINGI.
 
Asee we umeelewa tunabishana nn?
Yeye asema albino wauwawa mm napinga nikamfahamisha kuwa wanaouwawa ni watoto wadogo Njombe kwa iman za superstition.
Ila albino hawauliwi.
Nadhan umenielewa kaka
Albinos are killed in Tz daily.
 
Huyo anayesema wamejenga 67 hakuna hata moja imekamilika,ushahidi tunao kwanza hakuna sehemu tumeshuhudia uzinduzi wa hospitali mpya ukiacha vi heath centres vya mln 400,pili huku niliko kuna hospitali 3 ziko kwenye hatua mbalimbali za ujenzi na hazijulikani zitakamilika lini hapo ni toka 2015 sasa hizo 67 ziko wapi si bora wangesema tumeanza ujenzi wa hospitali 67 za wilaya
By the way nchi ina wilaya zaidi ya 135 afu kuna hospital 5+67 na kuna mikoa haina hospitali hapo sijataja kata,jeuri ya kujipiga kifua inatoka wapi wakati kuna upungufu wa 70% kwenye huduma za afya? Sielewi kujenga daraja la kuvuka ziwa kwa hali kama hiyo hapo juu,akili kama hizi zinapatikana kwa watu wa ccm tu na yale mazuzu yanashangilia.Nilimsikia rais anasema wagonjwa na wamama wanakufa kusubili pantoni waende hospital sasa kwa nini kusijengwe hospital huko wanakotoka?
Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tamisemi, Seleman Jafo amesema Rais John Magufuli ametoa Sh284.5 bilioni kwa ajili ya kuboresha na kujenga vituo vipya vya afya nchini.
Ametoa kauli hiyo leo Jumanne Aprili 30 katika viwanja vya Mwakangale wilayani Kyela katika ziara ya Rais Magufuli mkoani Mbeya.
“Tukizungumzia sekta ya afya juzi tu kule Mbonde Mtwara Rais umezindua kituo cha afya kikiwa ni miongoni mwa vituo vya afya vilivyoboreshwa 352, vituo vya afya vipya 67 ambavyo vimetumia Sh284.5 bilioni.”
“Tunakushukuru ndiyo maana watu wa Ipinga wanafahamu kituo chao cha afya ni bora kuliko hospitali ya wilaya, tumeshaleta dawa, vifaa tiba na vifaa vya kisasa mpaka pasi pale ipo,” amesema Jafo.
Aidha, Jafo amesema Rais ameidhinisha Sh52.6 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa shule, madarasa, nyumba za walimu na vyoo.

ATLEAST TOA UJINGA KAKA.
AU HUJUI KWANINI BUDGET INATENGWA??
KWAHIYO ULITAKA RAIS AJIKITE KTK AFYA TU ILHALI MIUNDOMBINU MIBOVU?
KIGAMBONI VITUO VYA AFYA VIPO.
ISIPOKUWA KUNA CHOICE YA MTU.
KUMBUKA DAR NI JIJI.
KUNA WALIOTAKA KUWAHI KAZINI WENGINE KUWAHI MASHULE NDIO MAANA DARAJA KUJENGWA LIMEWAPA WATU UNAFUU KUWAHI WAENDAPO.
VITUO VYA AFYA VINAJENGWA IT MEANS RAIS ANASTAHIL PONGEZI KWASABABU ANATEKELEZA KINACHOSTAHILI.
KAONA VITUO VYA AFYA VIDOGO AKATOA HELA VIONGEZWE NA KUBORESHWA.
KUMBUKA AKATI MAGU ANAINGIA MADARAKAN HATA X-RAY MACHINES ZILIKUA TABU HADI HUKU MJINI.
AKAONGEZA VIFAA TIBA IKIWEMO VITANDA,VIFAA VYA MAABARA NA MADAWA.
HUYO BADO HASTAHILI PONGEZI??
INGEKUWA AMEAHIDI HALAFU HAKUNA KINACHOENDELEA KWELI.
LAKINI KUMBE KESHAANZA KUJENGA TATIZO LIKO WAPI??
KTK AFYA KASHAANZA UTEKELEZAJI WACHA ABORESHE MIUNDOMBINU.
WE HAUJUI TULIKUA TUNASUMBUKAJE KTK KUWAHI SHUGHULI ZETU KIPIND DARAJA HALIPO.
MUDA MWINGINE FICHA UJINGA.
 
Tzn kiukweli inanuka umaskini yaani,imagine kwenye nchi ambayo 70% ya raia wake hawana uhakika wa huduma za afya huku 40% kuna malnutrition Rais anatenga bln 700 kujenga daraja kukatisha juu ya ziwa eti watu wawahi hospitali,hizi akili unaweza zipata Tzn tu wakati the same pesa could build reputable hospitals kwenye all districts and Heath centers kwenye all wards across the country then unategemea watu wasiongoze kwenye umaskini?
HALAFU TAKWIMU YAKO YA UONGO.
ACHAGA UNAFIKI AISEE.
SIO MZURI.
HATAKAMA UONGO ILA DAH JARIBU KUBALANCE.
ILA NI KHEIRI YA TZ WATU WANA UTAPIA MLO LAKINI KENYA WATOTO WAZEE NA WATU WAZIMA WAFA NJAAA KINDAKINDAKI.
IT MEANS BORA SISI TWAJIKOKOTA.
 
Ahaa what about kenya people dying with hunger and alot of citizens are having poor social welbeing ??
The correct words are;
"Dying from hunger" and not "dying with hunger".
" a lot" and not "alot"
"social wellbeing" and not "social welbeing".
The correct sentence is " What about Kenyan people... and not " What about Kenya people.."

Just continue learning I'll not get tired of correcting you.
 
Wachana na Hii lugha ya Nyang'aus juu hata watoto wa chekechea wamekushinda....tuongee kilumumba Kaka.
Ndio umeanza kujifunza kwa shule za gumbaro? Unajaribu ila mtoto was chekechea atakucheka Sana yani jibaba lizima linaandika upuzi usioeleweka.
Acha kung'ata maneno we sema wapi hujaelewa uelekezwe

Utofauti wetu ni kwamba ulijifunzia English shuleni,mimi nazungumza na wenye lugha daily

Halafu kama ulijifunzia English kwa school ni rahisi sana kukariri lugha
Am very sorry
 
The correct words are;
"Dying from hunger" and not "dying with hunger". " a lot" and not "alot" "social wellbeing" and not "social welbeing".
The correct sentence is " What about Kenyan people... and not " What about Kenya people.."
Just continue learning I'll not get tired of correcting you.

Na wewe leo unarekebisha watu kiingereza!!!!!
Oooops shit
 
The correct words are;
"Dying from hunger" and not "dying with hunger".
" a lot" and not "alot"
"social wellbeing" and not "social welbeing".
The correct sentence is " What about Kenyan people... and not " What about Kenya people.."

Just continue learning I'll not get tired of correcting you.
Answer my questions buddy.
Sikukwambia unifundishe English.
But what I need is you to answer my questions.
 
The correct words are;
"Dying from hunger" and not "dying with hunger".
" a lot" and not "alot"
"social wellbeing" and not "social welbeing".
The correct sentence is " What about Kenyan people... and not " What about Kenya people.."

Just continue learning I'll not get tired of correcting you.
Hiyo sio mother tongue yangu.
Na wala sihitaji kuijua.
Nitashabikia Kiswahili,kiarabu na kisomali.ila sio kiingereza.
Nachohitaji unijibu maswali yangu
 
Na wewe leo unarekebisha watu kiingereza!!!!!
Oooops shit
It's my wish to correct people like you who can't even punctuate their wordings correctly. By the way you are scaring me, any time I look at your name what comes to my mind first is *machete".
 
Hiyo sio mother tongue yangu.
Na wala sihitaji kuijua.
Nitashabikia Kiswahili,kiarabu na kisomali.ila sio kiingereza.
Nachohitaji unijibu maswali yangu
A person who corrects you is not your enemy. Are we together brother?
 
I would advice you to continue communicating in Swahili my brother.
For me, swahili is the first,the best,then English follows ..i been using it since my childhood,so i don have any problem with it,anyway
Kama unaweza kubainisha makosa kwenye maandiko yangu unaweza kunionesha kama nilivyofanya yesterday kwenye andiko lako la " learn how write",it is very simple
Show me the mistake,i will teach you for free
 
Continue trying harder. The correct sentence is "I have been using it since my childhood..." and not " i been using it since childhood... "
" I don't have any problem with it" and not " i don have any problem with it"

Learn how to construct sentence.

Back
Top Bottom