Kenya mna akili fupi sana aiseee.
Labda nikuulize,
Hii Tz imetokea wapi na inaenda wapi ??
Unafaa kujiuliza hvyo nyang,au wewe.
Hii nchi imekutwa ni mbovu usipime.
Acha usizungumzie madaraja.
Tuzungumzie kuboreshwa kwa metre gauge TRC na kufufua reli ya kanda ya kaskazini na kanda ya pwani(Tanga na kwingineko).
Hii itafanya ajira iongezeke kwasababu watu watatakiwa kufanya kazi ktk maeneo ambayo reli itafufuliwa.
Pia pato la taifa litaongezeka kulingana na shughuli za reli zitakavyoongezeka,km ubebaji abiria na mizigo kuelekea kanda ya kaskazini na pwani.
Vivo hvyo tukiiangalia ATCL kama itaboreshwa pato la taifa litaongezeka pia.
Na standard gaguge ikikamilika vivyo hvyo.
Kumbuka kuwa social development is brought by economic development.
Usitegemee huduma za jamii zitolewe sufficiently ilhali pato la taifa duni,embu tumia akili.
Na inachojitahidi serikali ni kuongeza vyanzo vya pato la taifa ili iweze kutoa huduma za kijamii kwa uhakika.
Ndio maana nampongeza jamaa kwasababu alivyoikuta nchi na. Alipoipeleka ni afadhali.
Huijui Tz imetokea wapi ww.
1)Vifaa tiba hafifu serikali imejitahidi imeongeza.
2)Dawa hafifu serikali imejitahidi imeongeza.
3)kuna maeneo aibu hayakufikiwa na huduma za afya wala za maji serikali imejitahidi imeweka.
Tofauti na awamu iliyopita pesa zinakopwa halafu zinaingia mikononi mwa watu.
Awamu hii inataka kuepuka kukopa kwingi ndio maana wanaboresha MIUNDOMBINU ilimradi wawekeze ktk viwanda na pato la taifa liongezeke ilimradi wafanye mambo yao ya kimaendeleo pasi na. Kukopakopa kwa whites.
Wafaa lielewa hilo bwege wewe.
Hayo madaraja yaachwe yajengwe watu tulikua tunachelewa sehem zetu za uzalishaji mali.
Mfano unafanya kazi Posta unakaa kigamboni kisiwani.
Kazini ama sehem yako ya kujiajiri unatakiwa uwahi saa mbili subhi uwe umefungua.
Inakutaka uzunguke utokee kongowe mpk utoboe mbagala masaa manne yashakupotea mpk kufika posta.
Kama mfanyakaz boss unae km umejiajiri hutozalisha faida itakikanayo.
Ila daraja kuwepo limerahisisha piga shortcut unawahi ktk deal zako unatengeneza faida na pato lako lawa sawa na mpk hela ya kodi kwa taifa unapata.
USIANGALIE TU SASA HV NCHI IKOJE,ITAZAME IMETOKEA WAPI.
NA NAONA UNATOLEA MFANO MADARAJA TU,MBONA MIRADI KAMA STIGLERS GORGE,STANDARD GAUGE,METRE GAUGE HUIZUNGUMZII MZEE BABA??
NI SAWA NA WW ULIKUA UNASHINDIA MLO MMOJA WA ANDAZI MIAKA ILIYOPITA,KUFIKA MWAKA HUU UKAONGEZA MLO MMOJA IKAWA MIWILI NA UKAWA UNA KULA MAANDAZI MATATU,UNAFAA KUJIPONGEZA NA. KUONGEZA SPEED UFIKE MBALI ZAIDI KWANI KIPINDI CHA NYUMA ULIKUA UNA HALI MBAYA SANA.
NDICHO KINACHOTOKEA AWAMU HII YA MAGUFULI.
HII NCHI ILIKUA PABAYA.
AU WW ULITARAJIA VUUUP UCHUMI UKUE TU??
AU WW ULIPOANZA KAZ MWEZ WA. KWANZA HAPOHAPO UKAJENGA NA KUPATA GARI?
ACHAGA UJINGA MAZEH