Tanzania tops region in democracy index.

Hayo ya Nabii tuyaache maana hata hao wewe unaowaamini ni wanafiki na wanakaa kimya wakati katiba na haki za binadamu zinakiukwa.
https://www.facebook.com/Angalia polisi wa Kenya walivyovamia nyumbani kwa Miguna Miguna na kuvunja nyumbani kwake, hali hii hutokea karibu kila siku huko Kenya, acha kulinganisha Kenya na Tanzania katika demokrasia, tumewazidi sana.
 
Ndio hiyo demokrasia bora afrika mashariki
 
Hao ni upinzani ambao hawakubali kitu chochote magu anafanya na hawana sera zaidi ya kuchafua nchi idiots
 
Hao unaosema wanatoa report kwa manufaa yao ..tunaomba ututajie hayo masirahi yao kwanza tujue wotee
 
Kama ripoti ilitolewa na watu wenye IQ, fikra na mtazamo kama wa kwako lazima #Tz iwe top on the list na siku zote ndio mtaji wenu.
 
Kama ripoti ilitolewa na watu wenye IQ, fikra na mtazamo kama wa kwako lazima #Tz iwe top on the list na siku zote ndio mtaji wenu.
Sasa wewe unataka tusiamini ripoti iliyokubaliwa na UN, wewe unapingana na UN, ni wazi upo kundi moja na nabii Tito.
 
Number 91 vs number 95 vs number 98 means Tanzania Kenya and Uganda all shit.. Some are better at one thing while others lead in other things and overall scores the same
 
Kwa uelewa wangu wa mitandao,kunakitu inaitwa garbage in garbage out,pale unapopata habari ambayo haijadhibitishwa chanzo chake,inakuwa ni tatizo mnapoanza kuijadili,mfano ishu ya jamaa kutumiwa salamu na Trump,na jinsi ambavyo waandishi wa habari wa TBC walivyo simamishwa muda ule,na ilitangazwa na chombo cha taifa,so for me,just because it was published by the citizen,and there is no evidence of the researchers,its rubish for me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…